DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
DED alifuatwa kuulizwa na mwandishi wa habari anajibu simple tu. " mtoto amekufa kwasababu ya cancer" pumbafu kabisa yaani hii nchi Ina viongozi wa ovyo mpaka unashangaa Huwa wanateuliwa kwa vigezo Gani?
Ajajibu simple hiyo kesi itabebwa na ushahid wa namna mbili
1:- ushahid wa kitabibu (ushahid mkuu) ndio TD ameuzngatia

2:- Ushahid wa mazingr kutok kwa wanafunzi

Ushahid na 1 ni muhimu kuhusian na ushahid na mbili,

Hospital:- mtoto alifikishwa akiwa na majerah makubwa (@alishambuliwa na kuumizw sehemu fulan ambako kulipelekea hali yake kuzorota na kufa

Wanafunz:- mwalimu alimchapa na kumpga ngumi ....
 
Unaweza tu kinibeza upendavyo, ndiyo uongozi wenyewe huo. Ila hiyo taarifa siyo sahihi. Maana mm nawasiliana na wanitafutao kwa sms Ili kutunza kumbukumbu. Kwangu hakupiga tena, na nimeongea naye hata hizo namba zilizompigia au alizopiga akaongea akajibiwa hivyo nimeomba anitumie, nasubiri tangu asubuhi. Uzuri mitambo ya simu hutunza rekodi siku ngapi tena?

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Mheshimiwa Waziri kwanza nikupongeze kwa kujibu haya maswali, ila si jambo sahihi kuanza kutoa lawama kwa huyo mama elewa yupo katika kipindi kigumu sana.
 
Bila kuchangia kwa mihemko na bila kujaji kwa nini unapuuzwa ebu tuanzie hapa;
1) Ilikuwaje hizo hospitali zikubali kumtibu mtoto bila PF3 ya police wakati uliwaeleza na kuwaonesha makovu ya vipigo kutoka kwa mwalimu.
2) Kwa nini hujaenda police kutoa taarifa au kwa afisa elimu wake hata wa kata.
3) Mtoto wa darasa la kwanza ni mdogo sn iweje mwalimu afikie hatua ya kumpiga hovyo hovyo hivyo tena kwa sababu ya kuchelewa. Angekuwa mkubwa km sekondari tungesema kulikuwa na majibizano mwalimu akashikwa hasira akampiga hovyo. (NB: Vyovyote mwanafunzi atakavyojibu na kumuudhi Mwalimu, Mwalimu haruhusiwi kumuadhibu hovyo).
4) Unasema mkuu alikataa kukuonesha Mwalimu mhusika. Ulitaka kumuona ili iweje. Km ungemuona ndo angepona. Hapa ndo wazazi wengi wasio na upeo hukurupuka na kutanguliza hasira mbele maarifa kubaki nyuma. Muhimu ulitakiwa ufuate taratib za kisheria ili afahamike na kukamatwa. Na nikuhakikishie hata km angekamatwa iwapo usingekuwepo wakati wa ukamataji usingemuona hata ungelia machozi ya damu police hawawezi kukupa ruhusa ya kuonana na mbaya wako kwa wakati huo labda mkifika mahakamani. Hivyo hivyo Mwalimu mkuu siyo mjinga eti akuoneshe Mwalimu mhusika. Angejuaj lengo llako, je km ulitaka kumdhuru. Kamwe hilo haliwezi kutokea kwenye taasisi kienyeji hivyo.
5) Kwanini hutaki kuamini majibu ya daktari. Je kwanini tusiamini kuwa mtoto alikuwa mgonjwa kweli na wewe tatizo hilo ulikuwa unalifahamu Ila fimbo za Mwalimu zimekuwa sababu tu.
6) Je ni mwanao tu alipigwa hivyo? Km wengine nao waliadhibiwa lakini kwa utaratibu na kuathirika kwa nini awe mwanao tu. Km waliadhibiwa kwa pamoja umeshindwa kuuliza wenzake kilichoprlekea mwanao kupigwa kiasi cha kupasuka bandama.?
7) Unasema ulazamishwa kuzika mwanao. Nani anaekushinikiza kufanya hivyo wakati kwenye bandiko lako hakuna ulikotaja police kuhusika.

Mwisho: Nakupa Pole kwa yaliyokukuta na fuata taratib za kisheria kupata haki yako kuliko kuja humu kulia. Pili, ulitakiwa utaje shule aliyokuwa anasoma.

Kuna jambo nitaeleza hapa kwa ufupi ambalo liliwahi kumtokea Mwalimu flani baada ya kumuadhibu mwanafunzi wa sekondari viboko 2 mkononi tena mbele ya kaka yake waliekuwa darasa moja lakini baada ya muda mfupi alifariki. Lakini alipopewa mzazi taarifa huku mwalimu akitafuta kukimbia, baba wa marehem alisema huyo mwalimu hana hatia aachwe. It means kulikuwa na jambo la kifamilia nyuma ya pazia. Naskia takribani miaka 6 sasa huyo mwalimu yupo hapohapo na maisha yanaendelea.

Nimemaliza; BANDOKITITA

Ebu jifunze kitu hapa.
Umeandika ujinga mtupu..!!!Pumba tupu
 
Unadhan mpaka waziri na mtu wa Dawati la jinsia kuanza kumpuuza mzazi hawakulifanyia Kazi Hilo? Lazima Mwl amehojiwa na Daktari amehojiwa. Lazima mkurugenzi amelifatilia analijua Hilo, lazima mkuu wa wilaya amelifatilia analijua Hilo, DSEO Lazma amelifatilia analijua Hilo, ocd lazma analijua hilo Maana waziri hawezi kwenda mwenyewe Ana vyanzo vyake vya habari na viongozi wa chini hujitahid sana kufatilia jambo na kulifahamu Kwa kina, asije kupigiwa Simu akampotosha waziri Au akajibu hajui Maana ni kuchezea kitumbua chake.
Walimu 5 wameshikikiwa na polisi wanahojiwa. Hili ndo lilikuwa linalohitajika, mtuhumiwa ahojiwe na limefanyika na hilo ndo la muhimu.
Screenshot_20240316-074044_Chrome.jpg
Screenshot_20240316-074103_Chrome.jpg
 
yaaan humu kuna wajinga wengi , ukisoma story ya huyo mtoto mpk mauti ni kama huyo mama anataka tumia mauti ya mwanae iwe mtaji wake kiuchumi , anampa presha mwl mkuu amuweke wazi mwl wa field ( hii ni kosa pia ) ili mwl wa field aje ampooze huyo mama , ila ukwel anaujuwa kuwa mwanae alikufa kwa KANSA YA DAMU na dalili alikuwa nazo .

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Habari Mdusi!
Nimeona mara nyingi ukirudia Hili swala Kwamba mtoto alikuwa na kansa na kadha wa kadha..

Naweza kukubaliana na wwe kwamba Kweli mtoto huenda mtoto alikuwa na cancer na huenda mama yake hakuitambua..

Ila kuna swali moja Unashindwa kuliaddress kwa watu wanaouliza..

How Leukemia inaweza kuwa triggered (Aggreviated) After Kipigo kutoka kwa mwalimu?

lakini usisahau pia kuwa Dalili zote Za leukemia alizo nazo huyo mtoto zinafanana na Traumatic injury inayotokana na blunt injury..

Petachiae inaweza kufanana na Bruises only Unautofautisha kwa R/O kuwa Una uhakika hakukuwa na tukio la injury..

Na hata Spleenomegaly (Au rupture) inaweza kusababishwa na Kipigo pia, Na hata Visceral organs zikiwa injured inaweza kupelekea Kupata Bleeding

hili swala nimeliongea kama Mzazi kwa sababu najua michezo yetu Madaktari...

INaweza ikawa kwa nia njema lakini tafsiri ya mpokeaji ikawa tofauti kabisa...

Kuna kipindi kulikuwa na mchezo wa utoaji saja wa mimba lakini ukisoma Report unakuta Ni inevitable abortion, Missed abortion ,na incomplete abortion nyingi..

Unajua ni kwanini? Madaktari walikuaa wanajiprotect kwa ajili ya Kutokutwa na hatia...

Watu wakiuliza na kulalamika haina maana kuwa ni wajinga, ina maana kwamba huenda wanajua mchezo ila hawajui kitaalamu unachezajwe...

UNAFIKIRI KWANINI WAMEKAMATWA WATU WATANO WAKATI MTOTO ALIKUWA NA ONLY SHIDA YA CANCER???

NAFIKIRI TANZANIA SASA KUPITIA KITIVO CHA SHERIA KUNA HAJA YA KUANZISHA KOZI YA TABIBU/DAKTARI MWANASHERIA (Medical lawyer)....Inaweza ikasaidia kutatua Sintofahamu zilizo ndani ya kidaktari maana Daktari itabidi aende kusomea Sheria ili kumuwezesha kutunza Heshima ua udaktari kwenye jami..

Shukrani
 
Nimejifunza kitu kimoja tu kwenye hii taarifa juu ya kifo cha huyo mwanafunzi! jamii forums ni jukwaa lrnye mchanganyiko wa watu wenye akili timamu na vichaa.

All in all, natoa pole kwa mzazi uliyefiwa na kijana wako katika mazingira yenye utata mwingi. Naamini ukifanikiwa kupata msaada sahihi, basi ukweli utajulikana na haki pia itapatikana! Na hivyo amani nayo kutawala.
 
kupiga ngumi na kuchapa vinafanana ? hoja ya mama bandama imeharibika kisa kapigwa ngumi na michirizi mgongoni , je WEWE UNAWEZA mpiga ngumi mtoto wa drs la kwanza NGUMI ? Ebu onesha utimamu wako

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Sio wote wana uwezo wa kumpiga mtoto Ngumi ila wapo wanaweza kufanya hivyo...

Tusitumie kipimo cha Utashi wa mtu mwingine kuamua kuhusu Makosa ya mtu mwingine..

Kwa mfano mimi siwezi kumlawiti Mke wangu " haimaanishi watu wote hawawezi kufanya hivyo"...

Mimi siwezi kumlawiti mtoto wa miezi 6 mpaka miezi yoyote ile " lakini kuna watu wanalawiti kila siku watoto mpaka wa miezi mitatu..

Mimi siwezj kupiga mwanamke " Haimaanishi watu wote hawawezi kupiga mwanamke"...

Tusitumie Mizani iliyo na shaka..
Kama mimi siwezi kufanya hivyo kuna mtu anaweza kufanya na bado akawa Comfortable..
Kipimo cha Uhalisia wangu siwezi kukitumia kwa uhalisia wa mtu mwingine....

Hii Logic yako ni non sequitur..
 
Mimi sina neno na huyu mama wala. Na sitakiwi kuwa na neno lolote kama kiongozi. Hoja yangu ni hawa watoa habari wa kujitegemea akina unknown ambao, hawazingatii maadili na miiko ya habari, ama kwa kutojua au kujua yaani makusudi na kutumika kwa faida zao. Ili tu, kazi yote ninayofanya na wadau wazuri kwenye jamii kwa maslahi ya jamii ionekane ya hovyo.

Anyway, Mungu ana macho.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Dkt. Gwajima D aliyetoa taarifa sio 'mtoa habari wa kujitegemea au mwaandishi wa habari wa kujitegemea' ama 'unknown' kama ulivyomuita.... hapa JF kuna kitu kinaitwa 'Fichua Uovu' tool inayokuwezesha kuripoti jambo bila utambulisho wako kujulikana, hata wewe ikiwa una jambo ambalo umekosa msaada na unahofia kujulikana ukiweka hapo taarifa ID yako itasoma 'Anonymous', ujumbe utafika bila utambulisho wako kuwa compromised.

Hii hapa na kwa wanaJF wote ambao hamjui kuna hiki kitu humu👇👇

Screenshot_20240316_103705.jpg
 
Habari Mdusi!
Nimeona mara nyingi ukirudia Hili swala Kwamba mtoto alikuwa na kansa na kadha wa kadha..

Naweza kukubaliana na wwe kwamba Kweli mtoto huenda mtoto alikuwa na cancer na huenda mama yake hakuitambua..

Ila kuna swali moja Unashindwa kuliaddress kwa watu wanaouliza..

How Leukemia inaweza kuwa triggered (Aggreviated) After Kipigo kutoka kwa mwalimu?

lakini usisahau pia kuwa Dalili zote Za leukemia alizo nazo huyo mtoto zinafanana na Traumatic injury inayotokana na blunt injury..

Petachiae inaweza kufanana na Bruises only Unautofautisha kwa R/O kuwa Una uhakika hakukuwa na tukio la injury..

Na hata Spleenomegaly (Au rupture) inaweza kusababishwa na Kipigo pia, Na hata Visceral organs zikiwa injured inaweza kupelekea Kupata Bleeding

hili swala nimeliongea kama Mzazi kwa sababu najua michezo yetu Madaktari...

INaweza ikawa kwa nia njema lakini tafsiri ya mpokeaji ikawa tofauti kabisa...

Kuna kipindi kulikuwa na mchezo wa utoaji saja wa mimba lakini ukisoma Report unakuta Ni inevitable abortion, Missed abortion ,na incomplete abortion nyingi..

Unajua ni kwanini? Madaktari walikuaa wanajiprotect kwa ajili ya Kutokutwa na hatia...

Watu wakiuliza na kulalamika haina maana kuwa ni wajinga, ina maana kwamba huenda wanajua mchezo ila hawajui kitaalamu unachezajwe...

UNAFIKIRI KWANINI WAMEKAMATWA WATU WATANO WAKATI MTOTO ALIKUWA NA ONLY SHIDA YA CANCER???

NAFIKIRI TANZANIA SASA KUPITIA KITIVO CHA SHERIA KUNA HAJA YA KUANZISHA KOZI YA TABIBU/DAKTARI MWANASHERIA (Medical lawyer)....Inaweza ikasaidia kutatua Sintofahamu zilizo ndani ya kidaktari maana Daktari itabidi aende kusomea Sheria ili kumuwezesha kutunza Heshima ua udaktari kwenye jami..

Shukrani
Heshima kwako chief Kuna watu wanadhalilisha sana taaluma ya udaktari.
 
Hapa hadi kieleweke.
Ni sababu ipi inayopelekea mtoto mchanga wa dalasa la Kwanza kuchapwa viboko?

Kwa heshima ya huyo mtoto, viboko vifutwe mashuleni.

Mtoto akichelewa shule kosa ni la mzazi, lakini Mwalimu badala ya kumwita mzazi na kumwelimisha umuhimu wa kumfikisha mapema mtoto shuleni, anamchapa mtoto bila sababu.

Inapotokea tatizo la kishule la mtoto wa Msingi kosa lipo ama kwa Mwalimu au kwa Mzazi.

Mtoto kama hawi bize na masomo lazima ataamua kucheza au kupiga kelele, hapo kosa ni la Mwalimu lakini mtoto anachapwa.

Naulizwa swali.
Huyo mtoto alifanya kosa gani hadi ikaamriwa na Mwalimu Mkuu kuwa njia pekee ya kutibu hilo kosa ni kumchapa viboko ?
 
Hii kazi ya ualimu Kwa Africa ni laana baada ya kusoma kisa hiki nikakumbuka jinsi nlivyokuwa nazabuliwa na walimu,wengine wakinishindilia Kwa miguu huku nimeshika chini.Kuna mmoja alinipiga Hadi nkasema mwalimu sikubali najirudishia japo nilisema tu maana nakumbuka baada ya kauli Ile nlijikuta asembo kengele imegongwa na wanafunzi wakinishangaa.Kifupi mm ni shuhuda wa kipigo hevi Cha walimu waliolaaniwa na nikwambie tu japo nlikuwa ni mtundu kiasi bt vipigo vingine vilikuwa ni for no good reason at all.Huyo boya aliyempiga mtoto kama Rika lake asakwe ajibie,na tena Nashangaa waziri Gwajima kwanini anarusha mpira kwenye jambo hili kama ni kweli.?
 
Kama ingekuwa kweli yaani mara moja ningewaambia kuwa, kweli nami nilimwambia hivi na chats zake ninazo. Sasa siyo kweli, hatukuongea, kumbe mimi nisemeje ndugu zangu? Maana kwanza nawasiliana na kutoa maelekezo kwa sms lengo nibaki na kumbukumbu sababu ya rejea.

Pamoja na tuhuma hizo za uongo, bado nimo tu kwenye kufuatilia yanayoendelea huko mkoani. Maana yake ni kwamba, natimiza wajibu wangu kama kiongozi kwa mengine yote kuyaacha yalivyo, ulimwengu uta judge wenyewe. Mimi kazi yangu ilikuwa kufafanua ukweli nikiwa hai.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom