Mwanandoa kuwa na Rafiki wa kike ni sawa?

UKWELIWANGU

Member
Aug 11, 2011
82
5
Kila binadamu anarafiki. hivyo mwanandoa kuwa na rafiki si kosa awe me au ke. kwani kila mtu anahaki ya kuchanganyikana na watu wengine
 

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,590
Kuwa na marafiki wa jinsia yoyote si kosa, tatizo ni kuwa katika utamaduni wetu wengi tunaona kama hilo haliwezekani. Wengi tunaamini kuwa haiwezekani kuwa na urafiki na jinsia nyengine bila matamanio.

Tatizo kubwa zaidi ni pale wewe na mwenzako mnapokubaliana (au kuvumiliana) kuwa na marafiki wa jinsia tafauti, lakini bado wanajamii wataliona hilo ni kosa na wataanza kuwatia fitina.

Lakini ukuwachia jamii inafikirije, jiulize wewe mwenyewe kwanza, "utakubali mwenza wako kuwa na (ma)rafiki wa jinsia tafauti? Isiwe ni "one way right", i.e. mwanamume anaweza kuwa na rafiki wa kike lakini mwanamke asiwe na rafiki wa kiume.
 

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,313
8,343
Inategemea na tabia ya muhusika. Kuna wasichana ni tomboys, na ndivyo walivyo; mtu kama huyo company yake ni wanaume tu; hata akiolewa si rahisi kuacha kuwa na company ya wanaume. Same kwa wanaume, kuna wanaume wanapenda kuzungukwa na wasichana toka wakiwa mashuleni au utotoni; na wa aina hiyo pia hawezi kuacha.

Ila mimi binafsi sipendi mwanaume anayependa company ya wanawake; hence have never fallen in love with wanaume wa type hii. Ushauri wangu chagua mpenzi unayeona anakufaa kitabia.
 

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
288
yah nimejaribu ku li google jina la mtoa mada ...

cheetah (Acinonyx jubatus) is a large-sized feline (family Felidae) inhabiting most of Africa and parts of the Middle East. The cheetah is the only extant member of the genus Acinonyx, most notable for modifications in the species' paws. As such, it is the only felid with non-
retractable claws and pads that, by their scope, disallow gripping
(therefore cheetahs cannot climb vertical trees, although they are
generally capable of reaching easily accessible branche....hata hivyo bado kujua kama ni dume au jike...
 

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,337
Haina shida kabisa ila urafiki huo uwe urafiki mzuri, full of heshima kwa ndoa yake na ambao wahusika watakua wazi na confortable kujieleza wakiwauliza urafiki wao unahusu nini. message zao, maongezi yao na matendo yao yawe wazi kwa partners wao wa ndoa na ikibidi urafiki huo uendelea hadi kwa wake zao na waume zao.
Kama hata mara moja watashindwa kufanya hivo basi urafiki huo sio mzuri. the same applies to wanawake na rafiki zao wakiume.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom