Mwananchi yadai uchaguzi ulifanyika kwa amani nchi nzima isipokuwa Arusha tu: Headlines za Mwananchi, Tanzania Daima na Mtanzania zadai hali inatisha!

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
May 30, 2017
2,869
3,188
Gazeti la Mwananchi limeandika kuwa, licha ya vurugu zilizotokea Arusha, maeneo mengine Nchi nzima yalifanya Uchaguzi kwa amani.
Hata hivyo, headlines za Magazeti ya Mwananchi, Tanzania Daima na Mtanzania zinaonyesha kuwa, hali ilikuwa mbaya na ya kutisha kama ifuatavyo:
IMG_6219.JPG
IMG_6213.JPG IMG_6214.JPG IMG_6215.JPG IMG_6216.JPG IMG_6217.JPG IMG_6218.JPG
 
Magazeti hayo huwa hayafikirii image ya Nchi, yanataka tu kuamsha hisia za wananchi wakati Uchaguzi ulikuwa wa amani. Nchi nyingi hapa indeed zote zinazotuzunguka zimekuwa na matatizo kila siku kwenye chaguzi zao lakini huwezi kukuta magazeti ya kwao yameandika kwa namna hawa Tanzania Daima walivyoandika.
IMG_6213.JPG
 
View attachment 834275
Katika nchi zinazotuzunguka hakuna upuuzi wa kishenzi kama unaofanywa na CCM kwanza watakuwa wanatushangaa sana. CCM inadhulumu waziwazi haki za wananchi kuchagua viongozi wanaowataka.
 
Kazeti hili la mwannchi limenunuliwa na ccm, habari zake ni za lumumba tu, mfuasi ccm akijamba yupo kwenye Hilo gazeti, pumbavu zao
 
Back
Top Bottom