Mwananchi usijichanganye kutuma ushahidi Tume ya Chande, ni mtego kupoteza mashahidi ICC

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,656
Mange kimambi ameandika yafuatayo

"Samia, Wambura, Mombo, Mafwele, Murillo, na washirika wenzao hawa wote safari yao ni ICC mahakama ya makosa ya jinai . Hawa wote mwisho wao ni kuhukumiwa kunyongwa.
Na huko ICC watakaofanya wakuhumiwe kunyongwa ni mashahidi walioshuhudia mauwaji na waliorekodi mauwaji hayo directly.

Wanajaribu kuitumia tume hii kujua wakina nani waliotuma video zile zilizopostiwa ili wajue ni kina nani watakaoweza kutoa ushahidi dhidi yao ili wawadhibiti.

IMG-20251231-WA0001.jpg

Kumbukeni meta wamenifungia mpaka account ya WhatsApp sababu hii ndio account iliyokuwa anapokea zile video, zile video ndio zimeharibu kila kitu, Kumbukeni walizima internet ndio wakaua watu sababu hawakutaka ushahidi uwepo.

Nawahikishia, Mtanzania yoyote atakaejichanganya akatuma evidence kwa hawa viumbe utaishia kupotea bila kujulikana umepotelea wapi"
 
Kwani kuna mauwaji yalitokea? Si hayo matukio na picha ni za zamani na za nchi nyingine na zingine ni AI.
 
Mange kimambi ameandika yafuatayo

"Samia, Wambura, Mombo, Mafwele, Murillo, na washirika wenzao hawa wote safari yao ni ICC mahakama ya makosa ya jinai . Hawa wote mwisho wao ni kuhukumiwa kunyongwa.
Na huko ICC watakaofanya wakuhumiwe kunyongwa ni mashahidi walioshuhudia mauwaji na waliorekodi mauwaji hayo directly.

Wanajaribu kuitumia tume hii kujua wakina nani waliotuma video zile zilizopostiwa ili wajue ni kina nani watakaoweza kutoa ushahidi dhidi yao ili wawadhibiti.

View attachment 3522969

Kumbukeni meta wamenifungia mpaka account ya WhatsApp sababu hii ndio account iliyokuwa anapokea zile video, zile video ndio zimeharibu kila kitu, Kumbukeni walizima internet ndio wakaua watu sababu hawakutaka ushahidi uwepo.

Nawahikishia, Mtanzania yoyote atakaejichanganya akatuma evidence kwa hawa viumbe utaishia kupotea bila kujulikana umepotelea wapi"
Mna wasiwasi sana juu ya hii tume, mnajitekenya na kucheka wenyewe, maana yake mmejawa na hatia ya kuandaa ule ushenzi wa October 29.
 
Ni upotofu wa fikra kumuapiza mtu kuwa atakufa mapema, nani hatakufa, ukichelewa kufa hutakufa? Tunaishi mara mbili ? Tunakufa mara mbili?
 
Mange kimambi ameandika yafuatayo

"Samia, Wambura, Mombo, Mafwele, Murillo, na washirika wenzao hawa wote safari yao ni ICC mahakama ya makosa ya jinai . Hawa wote mwisho wao ni kuhukumiwa kunyongwa.
Na huko ICC watakaofanya wakuhumiwe kunyongwa ni mashahidi walioshuhudia mauwaji na waliorekodi mauwaji hayo directly.

Wanajaribu kuitumia tume hii kujua wakina nani waliotuma video zile zilizopostiwa ili wajue ni kina nani watakaoweza kutoa ushahidi dhidi yao ili wawadhibiti.

View attachment 3522969

Kumbukeni meta wamenifungia mpaka account ya WhatsApp sababu hii ndio account iliyokuwa anapokea zile video, zile video ndio zimeharibu kila kitu, Kumbukeni walizima internet ndio wakaua watu sababu hawakutaka ushahidi uwepo.

Nawahikishia, Mtanzania yoyote atakaejichanganya akatuma evidence kwa hawa viumbe utaishia kupotea bila kujulikana umepotelea wapi"
Mamaaaeeee zao nimewatumia Tena video nilizorekodi mwenyewe
 
Serikali ya Pwagu na Pwaguzi
 
Back
Top Bottom