Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 793
Mimi kasheshe naunga mkono tena sana kodi kwenye mawasiliano... Kwa nini?
1. Muda si mrefu baada ya interconnections tena mwaka huu Jan/Feb/Mar... sikumbuki exactly kupunguzwa gharama gharama zilipungua sana... Hivyo kodi inaturudisha tupo pale tulipokuwepo.
2. Hakuna adhari yoyote kwa wale ambao hawatumii simu kwa ajili ya ku-replace physical meeting... Meaning kupiga story.
3. Sababu za kodi zinaeleweka wazi... Ni umeme vijijini na elimu... Nadhani this is no brainer understandable.
4. Taratibu zote zimefuatwa... Mwenye la zaidi apeleke mswada Bungeni.
5. Tuache cheap politics we need our country to move forward sio sisi wa kwanza kuweka kodi.
6. Hatuwezi kujitegemea kama hatutaki kutumia uwezo wetu...
7. Baada ya miezi mitatu/sita angalia tovuti ya TCRA kama kutakuwa na any change... kwenye usage trend... kwa sasa tunafikiri kwa mioyo yetu bali sio vichwa /brain in short wanaopinga hawana data zozote... so wait TCRA will have data for you in 3 to 6 months from now, ndio muanze kubwabwanya.
8. Let be realistic;waTanzania wangapi hawewizi kulipa TZS 1000/30 = 33.33 yaani sh. 33 na set 33 kwa siku? Let stop cheap politics... we can't move forward as a countrt if listen to mediocre brain... thinking always sisi wananchi we cant Think.
9. Hamtaki wananchi watozwe kodi.., hii nchi iendeshwe na nani? Tutajitegemea je? Au ndio 2015 tutafute Rais anayeweza kupitisha bakuli kwa wajomba? Lakini mbona wajomba nao wako ovyo kiuchumi pia?
10. Tubadilike kutoka taifa la kulalamika na kuwa taifa lenye kuthubutu kujijenga kwa nguvu za wananchi wake maskini, fukara, vipato vya kati na matajiri... Tukipata maji, umeme na elimu tusherekee wote kama tumechangia wote maskini na matajiri.
Mwisho
Nasubiri matusi kutoka kwa wale demokrasia iliyowapitia mbali na wavunjaji wa katiba kuhusu uhuru wa kutoa maoni....
Let the country move forward, kwa sisi tunaolipa kodi zingine bila kukwepa hii ni cha mtoto and we are proud to pay for the national development...