Sio mdudu mkuu..Wanamuziki maarufu walotangulia mbele ya haki kwa mwaka 2016
David Bowie alifariki akiwa na miaka 67 mwezi Januari 2016 (picha na Press Association)
Prince alifariki terehe 21 April Mwaka 2016 (picha na Associate Press)
Kitu kimoja muhimu katika vifo vya wanamuziki hawa ukiondoa David Bowie ambe alikuwa na anasumbuliwa na saratani, ni usiri mkubwa katika kutangaza umauti wa hawa wawili na haisemwi mapema nini chanzo cha vifo vyao.
Anaitwa David James Furnish, huyu ameoana na gay mwenzake Elton John na wana watoto wawili from surrogate mother..hivi patner wake Elton John anaitwa nani vile?nahisi kama ndio huyu?Msaada kujua kama nachanganya mambo hapa pls
Huyu alikuwa ana ishu nyingine zaidi ya pombe na drugs!Oo madawa ya kulevya na pombe hakika karama ya dhambi ni umauti amini hivyo.
You mean Michael " The wacko jacko"MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA SIO MAZURI, THE LATE MICHAEL NI MHANGA WA HILO.
ahahaaaaDuu I attended that funeral umenikumbusha mbali "candle in the wind nilimwona akiimba
Huyu alikuwa ana ishu nyingine zaidi ya pombe na drugs!
Kuna bwanaake anaitwa Fellepa alikufa na moto...
So toka hapo G hakujielewa...
aisee mmnilimfahamu kwenye hiyo nyimbo. heshima kwenu watu waq zaman inaelekea mume enjoy sana vitu vitamu ila nimechukia tuu kusikia alikua shoga. na ushoga unamaliza wengi kumbuka prince nae umemchukua halafu naona wengi HIV inawamalizaRIP kwakweli Careless whisper ilifunika kila kona mpaka kwenye maaautograph tehe tehe enzi hizooo
Kwa hali hii mashoga ni wengi sana mkuu tunapishana nao huko barabarani. real you cant imagine huyo ndugu ni bwabwa
Mkuu, George Michael alikuwa na bwana na alikuwa akificha hiyo kitu.
Mume wake huyu anaitwa Fadi Fawaz na alikuwa naye tangu mwaka 2009 alipoachana na yule mwingine bwana Goss!
Fadi ndiye aliegundua mwili wa George alipokwenda kujiunga naye kula Xmas ndiyo familia nzima ikataka uhuru wa faragha uheshimiwe kuficha hii aibu.
Mengine utamalizia hapo.
dunia ina mambo scorpi me
mkuu huyo fellepa alikua anambandua/kubanduliwa na nani?? ina maana ngoma inawamaliza hawa?? maana hata prince nae ngoma ilimchukua
Basi huyo jamaa aliekua anambandua prince huyo wa pili nae atakua na ngoma tuu. Sijui kwa nini ngoma inawapata sana mashoga ikumbukwe hata prince ngoma ilimchukua
Kwa kweli ukistaajab ya faru john...dunia ina mambo scorpi me
Naishia hapa...kusoma...kumbe habari za shogaAlinikera alipokuwa shoga
Believe meahahaaaa
ndo ulikuwa unambembeleza prince harry ?Believe me
[emoji3] [emoji3] sikuwa na mda huo, nilikuwa Hyde Park Cornerndo ulikuwa unambembeleza prince harry ?
aya bna[emoji3] [emoji3] sikuwa na mda huo, nilikuwa Hyde Park Corner