Kelevra
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 1,053
- 2,007
Kwa nilivyomuelewa muanzisha mada....amemaanisha msanii mwenye hits siyo msanii anayetamba kwa sasa...The weekend bado sana kwa Criss..Ufuatilii mziki, Criss zilipendwa na wakina Usher wote zilipendwa mziki uko hivi mfano nitolee kwenye Movie industry ukimuuliza ambae hafuatilii Movie akutajie maStar wa movie atataja Vandame, Anolrd nk ila kwa aliye update atakwambia Tom Cruise, Ronald nk, kwanini kwasababu hawa wakina Vandame walikuwa kipindi ndio movie zinaRise duniani na kwenye mziki hivyohivyi kwasasa ukizungumzia mziki kama USA utataja The Weekend nk.
Generally Criss yupo level za kina R kelly au Celline dione japo ni m canada kwa kuwa na nyimbo nyingi zilizo hit.