Mwanamuziki gani wa Marekani anaweza kushindana na Chris Brown kwa hits?

Go Crazy aliyomshirikisha Young Thug kwa siku ya Alhamisi imekuwa ya kwanza kuwa top ten ya Billboard kwa wiki 32. Ndio inaongoza kuwa top ten muda mrefu kwa sasa. Wiki ya 32 ila bado iko namba 7.

Namba nne katika longest serving in top ten Billboard chart ni No guidance aliyomshirikisha Drake, hii ilikaa wiki 30 kwenye list ila ishatoka.

Kumlinganisha Breezy na kina Justin Bieber ni kulinganisha K Vant na Amarula, mmoja rapper mwingine sijui nani nani.

Sorry, Tempo, Criss Kros, Loyal, Questions, Beat it, Don't Wake me Up, Whipping, Heat, etc. Bado hujataja alikoshirikishwa kama International Love ft Pitbull, My Last ft Big Sean, Right by My Side ft Nicki Minaj.

Chris Brown yuko underrated ni kama vile soko la mziki halimtaki, hapewi kiki za kumboost kama wengine. Wamiliki wa industry si ni walewale mtu anaweza kuwa uwezo mdogo ila sijui nyota inambeba. Yuko wapi Katy Perry, wapi Cardi B? Eti MeganTheeStallion alichukua tuzo tatu za BET 2020 ikiwemo kuwa msanii bora wa hiphop, siamini uwezo wake.
Breezy ni moto mzee hakuna wa kufikia kiwango chake mara 100 wangem compare na drake maana nae ana hits na akifanya feature huwa ni hit!

Kwa Breezy bado hujazitaja bangers kama Wet,Yeah, Looka at me now, Freaky Friday, Gold Slugs...

Ukipata wasaa sikiliza Album yake ya Royalty mawe yapo ya kutosha mle! Hits ni nyingi wala huhitaji degree kumjua kuwa ChrisBrown ni mnoma sema labda kama wanambania tu.
 
Ufuatilii mziki, Criss zilipendwa na wakina Usher wote zilipendwa mziki uko hivi mfano nitolee kwenye Movie industry ukimuuliza ambae hafuatilii Movie akutajie maStar wa movie atataja Vandame, Anolrd nk ila kwa aliye update atakwambia Tom Cruise, Ronald nk, kwanini kwasababu hawa wakina Vandame walikuwa kipindi ndio movie zinaRise duniani na kwenye mziki hivyohivyi kwasasa ukizungumzia mziki kama USA utataja The Weekend nk.
Endelea kufuatilia singeli huna unalojua.
 
Huna unalojua wewe. Criss brown ni namba nyingine. Kuanzia kwenye nyimbo ambazo Yuko featured au za kwake binafsi.

Fuatilia hizi nyimbo zake za hivi karibuni

Criss Brown ft Young Thug - GO CRAZY

Criss Brown - WITH YOU

Zifuatilie kwenye chati za muziki kubwa kubwa zimefanya nini na sio kubwabwaja.

Hii ni chati ya BILLBOARD TOP 100 Angalia namba sita.

IMG_20210207_081703.jpeg
 
Go Crazy aliyomshirikisha Young Thug kwa siku ya Alhamisi imekuwa ya kwanza kuwa top ten ya Billboard kwa wiki 32. Ndio inaongoza kuwa top ten muda mrefu kwa sasa. Wiki ya 32 ila bado iko namba 7.

Namba nne katika longest serving in top ten Billboard chart ni No guidance aliyomshirikisha Drake, hii ilikaa wiki 30 kwenye list ila ishatoka.

Kumlinganisha Breezy na kina Justin Bieber ni kulinganisha K Vant na Amarula, mmoja rapper mwingine sijui nani nani.

Sorry, Tempo, Criss Kros, Loyal, Questions, Beat it, Don't Wake me Up, Whipping, Heat, etc. Bado hujataja alikoshirikishwa kama International Love ft Pitbull, My Last ft Big Sean, Right by My Side ft Nicki Minaj.

Chris Brown yuko underrated ni kama vile soko la mziki halimtaki, hapewi kiki za kumboost kama wengine. Wamiliki wa industry si ni walewale mtu anaweza kuwa uwezo mdogo ila sijui nyota inambeba. Yuko wapi Katy Perry, wapi Cardi B? Eti MeganTheeStallion alichukua tuzo tatu za BET 2020 ikiwemo kuwa msanii bora wa hiphop, siamini uwezo wake.
Kuna wajinga wamenikera Sana humu kumlinga breezy na takataka

Acha niendelee kula GO CRAZY FT Mnyamwezi young thug.
 
Duuh ww jamaa bado sana kuujua muziki wa US, huyo Chriss anaweza kumaliza mwaka hajawahi fanya ht show ya bure. Mbaya zaid alipompiga Rihanna ndo akajiharibia kabisa.

Bruno Mars tuu anamuacha 10000km
Tafuta hii album ya Indigo , sio kukesha kwenye visingeli mnakuja kutupigia kelele hapa.
IMG_20210207_082735.jpeg
 
Hivi kuna mwana muziki gani pale America anaweza kubattle na Chris Brown kwenye Hits. Yani anaweza kuwa na hits kali kumzidi Chris Brown. Kwa wale wanaoimba.

Kwangu mm Usher ni zaidi ya Chris Brown
Chris brown angekuwa anakaribia level za kina Michael Jackson.

Tatizo lake kubwa ni tabia yake mbaya, "uniggas" na kuimba matusi.

Wazungu/Wamarekani ni mabingwa wa kususa, hata uwe na kipaji kama nini ukisuswa ndio basi tena.

Chris brown na RKelly ni wsnamuziki wenye vipaji vikubwa sana na wanaojituma lakini kutokana na tabia zao hawajalata matunda wanayostahili.

Halafu huyo Chris brown siyo kwamba haepukiki: Watu wanamsikiliza Bruno Mars na Jason Derulo badala yake, hata Grammy wamebeba sana.
 
Ndio maana CCM itatawala milele Yani Kuna mapumbavu yanaona hizi ngoma si kitu.
IMG_20210207_083831.jpeg
 
The weekend ana nyimbo gani kali ambazo zinahita au zimehit! Mind you productions ziwe kali pia zinazosikilizika sio utopolo!
The Weeknd ana hits na anajua ila ana ngoma chache na binafsi sioni kama anajituma kikamilifu.

Ingawa anatesa sana kwenye charts.
 
Mhmhmh!

Unasemaje hii ni hit kali? Kwa uelewa wangu mdogo juu ya muziki, ili wimbo uwe ni hit kali basi uwe 'streamed' katika mitandao kwa kiasi kikubwa. Ushike namba za juu katika Chats za Billboard huko Marekani.

Na pia, upate tuzo nyingi katika mwaka husika kutoka kwa watayarishaji mbalimbali.

Sasa je, Chris Brown hivi karibuni katoa nyimbo zipi ambazo zinasumbua sana? Mara yake ya mwisho kushinda tuzo ni lini na kwa wimbo upi?

Anajitahidi, lakini bado.
Chris Brown hawezi kupata tuzo baada kumpiga aliyekua mpenzi wake Rihanna Robby Fenty, wenzetu wanaangalia vitu kama hivyo
So huyo Brown hata hawekwi kwenye category za tuzo ingawa ni kweli ana hits nyingi
 
Huna unalojua wewe. Criss brown ni namba nyingine. Kuanzia kwenye nyimbo ambazo Yuko featured au za kwake binafsi.

Fuatilia hizi nyimbo zake za hivi karibuni

Criss Brown ft Young Thug - GO CRAZY

Criss Brown - WITH YOU

Zifuatilie kwenye chati za muziki kubwa kubwa zimefanya nini na sio kubwabwaja.

Hii ni chati ya BILLBOARD TOP 100 Angalia namba sita.

View attachment 1696442
Wewe nae ni kiazi kilichoungua, Sasa with you ni wimbo wa hivi Karibuni ?
 
Kwa miaka ya hivi karibuni kuna watu wanamfunika pakubwa tu...

Kwamfano drake, pia nahisi wazungu wanaangalia vitu vyao tofauti na sisi kuna album ya the weeknd sijui wameipendea nini wakati mi nikicheki ina nyimbo chache nzuri nahisi kuna reason behind either kama ilivyokwetu kwa diamond na kiba,

Pia inawezekana hits za wazungu ni tofauti na hits zet tunavyochukulia, kwamfano blinding light ya the weeknd ni nyimbo yenye mafanikio zaidi kuriko go crazy.

Harafu ilitakiwa mweka mada uwe specific ni aina ipi ya mziki... maana kuna madogo ya trap yanaimba utopolo ila ni hits sio kitoto.

Kwa upande wangu... overall breezy kwa aina yake ya mziki yan huko kwenye rnb ni bora zaidi hasa kwa kutokuchuja kwa miaka mingi.

Japo huwa akishindanishwa Asher na breezy, chrs huwa anapigwa chini huko mbele
 
Hivi msanii kama Billie Eilish unamwelewa 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom