Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,875
- 20,076
Taja hit song 4 za Usher za mwaka JanaKwa miaka ya hivi karibuni kuna watu wanamfunika pakubwa tu...
Kwamfano drake, pia nahisi wazungu wanaangalia vitu vyao tofauti na sisi kuna album ya the weeknd sijui wameipendea nini wakati mi nikicheki ina nyimbo chache nzuri nahisi kuna reason behind either kama ilivyokwetu kwa diamond na kiba,
Pia inawezekana hits za wazungu ni tofauti na hits zet tunavyochukulia, kwamfano blinding light ya the weeknd ni nyimbo yenye mafanikio zaidi kuriko go crazy.
Harafu ilitakiwa mweka mada uwe specific ni aina ipi ya mziki... maana kuna madogo ya trap yanaimba utopolo ila ni hits sio kitoto.
Kwa upande wangu... overall breezy kwa aina yake ya mziki yan huko kwenye rnb ni bora zaidi hasa kwa kutokuchuja kwa miaka mingi.
Japo huwa akishindanishwa Asher na breezy, chrs huwa anapigwa chini huko mbele