Mwanamume kula!!!!!!!

Mwanamume kula!!!!!!!

nyamchele

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
1,325
Reaction score
1,039
Mwanamume chips mayai wapi na wapi........

ugali.jpg
 
Namuonea huruma dada yetu tu suluba atakayoipata baada ya huo ugali kwisha......

Huyo akitoka hapo inabidi alale chini ili chakula kisambae coz akikaa hakina nafasi...hana ubavu wa sulubu yoyote labda acheuecheue na kutapika tu ha ha ha!
 
Huyo akitoka hapo inabidi alale chini ili chakula kisambae coz akikaa hakina nafasi...hana ubavu wa sulubu yoyote labda acheuecheue na kutapika tu ha ha ha!

Kweli kabisa!Damu yote itatoka uko iliko iamie tumboni....kwa hiyo lazima akate network kwa kipindi flani hivi...ila network ikirudi na chakula kikishasambaa sehemu sehemu dada yetu asikae karibu........
 
mbona kama anakula makapi (sembe) badala ya dona???
 
Huyo akitoka hapo inabidi alale chini ili chakula kisambae coz akikaa hakina nafasi...hana ubavu wa sulubu yoyote labda acheuecheue na kutapika tu ha ha ha!

Atakuwa mzoefu huyo, na hapo inaonekana kama kulikuwa na kaubishi fulani hivi kuwa jamaa anaweza kumaliza Kg say mbili, so watu wamezunguka na kamera zao kuona jamaa anavyomaliza huo msosi
 
sio shedrack nsajigwa huyo ...kama wamefanana vile
 
Hilo dongo kawaida naona comments nyingi apa za wavulana wa dar walio zoea maembe mabichi na chumvi au ubuyu
 
Back
Top Bottom