miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Huyo mwanaume hafai hata kwa matumizi ya baadae, kumpa hela mpenzi wako sio kwamba anakuuzia papuchi ni moja ya njia ya kumuonesha kuwa unamjali,,, hilo dume alikujali banaa yeye linajali papuchi tu achana nae fasta mwambie akanunue hukoo kwa wanaoziuza!
Pesa nyingi ndo zinafananaje???zimejaa kwenye kiloba au?unapimaje pesa nyingi?uzito au???
Hakuna aliyewahi kutosheka na pesa na ndio maana kila siku watu wanatafuta!!!
Yeye ya kuoshea m.b.o.o anatoa?[/QUOTE
kwani shahawa zake anamwagia wapi????
Tatizo rafiki yako kamuendekeza miaka miwili ni mingi usikute yeye hapewi pesa wapo wengine wanapewa bila hata kuomba. Maumuzi anayo yeye kusuka ama kunyoa.
Sasa kama jamaa ana ndoa yake analea, yeye kadandia tu apewe huduma kama mke? huo mgegedo tu unamtosha hela atafute zake mwenyewe..
Tendo la ndoa pia linatakiwa lifanywe na wanandoa so atulie na ndoa yako huko nje anatafuta nini
Women...whoever 'logad' u!???
You are not my wife, you do not get a cent from me..PERIOD!
Ukitaka na wewe nibanie vya kwako....
ndani ya condomYeye ya kuoshea m.b.o.o anatoa?
kwani shahawa zake anamwagia wapi????
mi naona amchukulie hivo hivo ..maisha si pesa tu. kwani swala la mwanaume kukupa hela linabeba maksi ngapi katika mia
kama sifa zingine anazo na ana asilimia at least 60 bebana nae tu
Rafiki yangu anaomba ushauri.
Ni msichana wa miaka 28 mzuri wa tabia, ana mvuto, wife material, mrembo, mchakarikaji wa maisha. Ana mchumba wake wa miaka miwili sasa. Mchumba huyo hamjali binti kwa lolote i mean Saloon, sio vocha, nguo wala hajawahi kumnunulia hata zawadi yoyote zaidi ya kumpa mapenzi tu. Yaani pesa ya jamaa haitoki mpaka siku akitaka 'K' tu! Siku hiyo jamaa yuko tayari kulipia hotel na chakula kisha huyooo hata nauli ya kumrudisha binti nyumbani anajitegemea. pia anasema mwanamme ana pesa na ni mfanyabiashara mkubwa tu. Shostito anamshangaa jamaa anamwambia anataka kumuoa na ana wivu wa kupindukia, na hataki ampe mtu yeyote 'K' anayoigegeda yeye. Shoga anaomba ushauri afanyeje? je wanaume wote wako hivo?
wanaume wengi ndivo walivo...kwani sifa ya mwanaume ni kutoa hela tu..kutoa hela za shoping hiyo ni bonus tu ...sio offisi zote zinatoa bonus ..kama unalipwa mshahara vizuri..utaacha kazi kisa hakuna bonus?...amvumilie tuListen Smile yaani utumie vocha zako kumpigia bwana, utimie nauli yako kumfuata gesti (kwake), hata perfume na duodorant basi akuhudumie. mapenzi sio pesa ni kujaliana wote. Mke au gf ni pambo akipendeza unazidi kumpenda. mimi wangu ananihudumia na mie nanapata moyo wa kumhudumia boxer, soksi, nguo kuduchu ni jukumu langu kwa nimpendae
teh badala angempima jamaa kama anampenda kwa kumnyima papuchi!yeye anampima kwa pesa!Wewe unafikiriaje au umempa ushauri gani kabla ya kulileta JF?
Huyo anaachiwa UKIMWI mambo kwisha, anatagemea nini zaidi kwa kugegedwa nje ya ndoa?
ndo ukweli huo!!! sa kama anampenda na hamtumii si ampe hata ya sabuni aoshe papucci...
Rafiki yangu anaomba ushauri.
Ni msichana wa miaka 28 mzuri wa tabia, ana mvuto, wife material, mrembo, mchakarikaji wa maisha. Ana mchumba wake wa miaka miwili sasa. Mchumba huyo hamjali binti kwa lolote i mean Saloon, sio vocha, nguo wala hajawahi kumnunulia hata zawadi yoyote zaidi ya kumpa mapenzi tu. Yaani pesa ya jamaa haitoki mpaka siku akitaka 'K' tu! Siku hiyo jamaa yuko tayari kulipia hotel na chakula kisha huyooo hata nauli ya kumrudisha binti nyumbani anajitegemea. pia anasema mwanamme ana pesa na ni mfanyabiashara mkubwa tu. Shostito anamshangaa jamaa anamwambia anataka kumuoa na ana wivu wa kupindukia, na hataki ampe mtu yeyote 'K' anayoigegeda yeye. Shoga anaomba ushauri afanyeje? je wanaume wote wako hivo?
Anafata virahisi kama vya huyo shosti yenu...as in for real hata mm nikimpata ambaye nalipia hotel na fud tu...y not keep her for the danger days!!!! hahah..bado unashangaa kwa nini unatumika!?? shieeeettttt....mnyime uone kama atakuja..unakaa kujiuliza kama anakupenda au la?? mapenzi hayapo kwenye pesa mamii...kama ulitaka yawe ivyo ungemwambia tangu mwanzo! ila alikuona cheap anakutumia vivyo hivyo! Ukitaka kulipwa nenda Kimboka...
ndani ya condom