Mwanamme Heshimu mkeo/GF wako

Mwanamme Heshimu mkeo/GF wako

Mtu mzima kuamua kumtukana mwenzie hivyo hadharani lazima kunajambo, inawezekana yapo mengi zaidi ya hilo....

By the way, wakati mwingine wanawake mnakera tena sana, mi mwenyewe iliisha nitokea ya hivyo, nimejibana mtoto wa kiume angalau wife asipate dhahama ya kukaa masaa 14 kwenye basi, nikamega nusu ya mshahara nikamkatia tiketi ya ndege siku yenyewe inafika anajizungusha ndanii, namkumbusha muda una enda yeye hata hashtuki ndio anaanza nakufua, akachelewa shuttle....roho ikaniuma kweli, mtoto wa kiume nikajikaza na mihasira yangu nikawasha gari nimpele airport( hapo ni Arusha mpaka KIA) alipoona nimewasha gari na yeye akaamua kubadili tena nguo, nikazima gari, nimepiga simu mtu hatoki, kuingia ndani ndio kwanza anapanga begi limejaa balaa, nikamsaidia kulifunga, tumeondoka mpaka KIA watu wana board, ananiambia kasahau wallet na ina ticket tena akaanza kunilaumu mimi ndio nimemuwahisha mpaka kasahau, nikaidowload ticket nikampa...kule matangazo ndio yanazidi yeye ndio kwanza yuko kwenye kioo cha anarekebisha nywele...uvumilivu ulikwisha tho iam not proud of lakini nilimpa mabanzi mawili naona akili yake ikarudi, na ninashukuru hajawahi kuniuliza kwa nini nilimpa mabanzi na tangu siku hiyo kama anataka ndege atumie mshahara wake.......kwa hiyo haya mambo wakati mwingine wanawake mnatuuzi mno. Ingawa sitetei lakini inawezekana jamaa uvumilivu umefika mwisho, wenzenu roho zetu ndogo mjue!
Mkuu nimecheka sana
 
Yeye nyumbani kwake alikuwa hakujui!!?? Angerudi aone jamaa kama angemtimua mpaka hizo 14 days ziishe. Mke wa mtu unaenda kulala kwa rafiki!?
 
Habari Waungwana,

Kuna jambo limenikera sana, rafiki yangu bahati mbaya amechelewa kufika airport due to traffic.
ikabidi amepigie mumewe cm amuelezee kua amechelewa na ndege imemuacha,bwana yule
bila kutaka kujua amemtukana mkewe na kumwambia asuridi nyumbani yeye anamtegemea nyumbani baada ya 14days sio chini ya hapo na asijaribu kurudi nyumbani atakijua kilichomtoa
kanga manyoya.

Imebidi anieleze yalio jiri nikamwambia njoo nyumbani kwanza halafu tutaongea na mumeo huenda hasira tuu na stress za kazi, shoga kafika nyumbani akampigia kua yupo kwangu jamaa
akaja nikajua anakuja kumchukua mkewe Looo bila aibu kaanza kumtukana tena mwanamme yule ana chamba kama kalelewa na mashoga hata staha hana na juu ya kichambo chote hicho
still kamuacha mwisho anamwambia tena usijishaue naoa karibuni.

sasa shogangu anasema anarudi kwao safari ya nje imeishia hapo anataka Talaka nimemwambia
nimapema sana ila wanaume wanaume wanaumeeeeeeeee sio vizuri kumtupia mkeo au G/F wako maneno kwa kosa dogo na mwanamme humuita mkewe kwa mahaba ukamuliza sababu
siokumtolea maneno wanaume tafadhali wenye tabia hii wacheni mnawaumiza moyo wenzenu.
Huyi mwanaume wa kizaramo kabisa. Unachamba mkeo na matusi ju kiza ndege ameachwa na ndege kweli?
 
Siungi mkono huo unyanya saji ila kuna sababu zaidi ya hiyo!Wewe unatuficha badhi ya ukweli toka kwa huyo shoga yako!
Kwanza hiyo safari ya ndege ilkuwa ya kwenda wapi na kufanya nini?
Nani kagaramikia hiyo safari?
Mahusiano na mumewe kabla ya safari yalikuwa je?
Aliondokea wapi kwenda airport?
Kwa nini hakubebwa na mumewe?
Hivi hata kama ni wewe (sijui kama umeolew) inaingia akilini kwa haraka akupigie tu simu kutoka airport kwamba nimechelewa ndege baada ya kukwama kwenye traffic jam wakati wote mlifahamu uwepo wa hii safari kwa siku kadhaa nyuma!
Haiwezekani tukakuelewa kiurahisi hivyo!!!!!!!!
 
akufukuzaye hakuambii toka..
si ajabu huyo bibie alishaonyeshwa dalili nyingi za kutotakwa ila kang'ang'ana tu!
 
Mke na mume ni mashetani wawili wanaojuana..kamwe usikae toa ushauri wa kumfanya naye aombe talaka.... MWISHO UTAAIBIKA WEWE NA UTAONEKANA UNAMUONEA WIVU.

mke na mume ni mashetani wanaojuana..... Ili mradi ndoa yao imefungwa kwa njia sahihi aminn nawambia suala la kuachana sio dogo ..... Hapo bado ndugu.

Mume namke ni mashetani wawili wanaojuana ......hapo mwanaume kaongea na kutukana ktk wakati wa Hasira na hisia zake juu ya mwanamke.

Nakazia, Mume namke waachen wawe mke namme kwakua nimashetani. Hapo mwanaume akikusimulia kwann amewaka kias iko mpaka naww unaweza anza muonea huruma huyo mwanaume .

Aminn nawambia mume na mke ni mashetan wawili wanaojuana !!
 
Siungi mkono huo unyanya saji ila kuna sababu zaidi ya hiyo!Wewe unatuficha badhi ya ukweli toka kwa huyo shoga yako!
Kwanza hiyo safari ya ndege ilkuwa ya kwenda wapi na kufanya nini?
Nani kagaramikia hiyo safari?
Mahusiano na mumewe kabla ya safari yalikuwa je?
Aliondokea wapi kwenda airport?
Kwa nini hakubebwa na mumewe?
Hivi hata kama ni wewe (sijui kama umeolew) inaingia akilini kwa haraka akupigie tu simu kutoka airport kwamba nimechelewa ndege baada ya kukwama kwenye traffic jam wakati wote mlifahamu uwepo wa hii safari kwa siku kadhaa nyuma!
Haiwezekani tukakuelewa kiurahisi hivyo!!!!!!!!
Wewe umefikilia kama nilivyofikiria hawa mashoga wanakuaga na akili zao

Hapo mwanaume akikusimulia mpaka unaweza mwambia jamaa umeoa mke??? Au umeoa Nyani??? .

Ninavyojua mimi. WANAUME WANAPENDA FAMILIA SANA. WANAPENDA KUONA WAKE ZAO ,HUYU JAMAA SIAMIN KAMA NI BONGE LA KIFALA KIAS CHA KUFIKA NAKUANZA KUMFOKEA .

nandio maana demu akaamua kujikimbiza kwahuyi shoga yake kwakua wanashea mambo mengi!! (Huyu mwanamke naye ni wakufikiria sana) ..Mwanamke atoaye mambo ya mumewe kwa shoga yake???..alafu wakisharudiana anajuta kwan amekuambia??

Alafu mtoa mada , umeniboa sana , nasijui kama umeolewa. huwezi toa kauli za kipuuzi kwa mwanaume wa rafiki yako kipenzi hata kama wamekosana .HII INADHIHIRISHA CHUKI ZAKO BINAFSI KWA MWANAUME ..nasina shaka ushauri wako UMEJIKITA KWA KUWAACHANISHA NASIO KUTAFUTA SOLUTION .

Wewe na shost wako bado hamna maelezo ya kutosheleza.
 
Siungi mkono huo unyanya saji ila kuna sababu zaidi ya hiyo!Wewe unatuficha badhi ya ukweli toka kwa huyo shoga yako!
Kwanza hiyo safari ya ndege ilkuwa ya kwenda wapi na kufanya nini?
Nani kagaramikia hiyo safari?
Mahusiano na mumewe kabla ya safari yalikuwa je?
Aliondokea wapi kwenda airport?
Kwa nini hakubebwa na mumewe?
Hivi hata kama ni wewe (sijui kama umeolew) inaingia akilini kwa haraka akupigie tu simu kutoka airport kwamba nimechelewa ndege baada ya kukwama kwenye traffic jam wakati wote mlifahamu uwepo wa hii safari kwa siku kadhaa nyuma!
Haiwezekani tukakuelewa kiurahisi hivyo!!!!!!!!

Mkuu sioni sababu ya kukuficha,bila kusahau hapa ni sehemu ya kueleweshana sio vyenginevyo naelewa kua kila kiumbe na ufahamu wake wa mambo.
Safari alikua ana kwenda China biashara na sio mara yake ya kwanza kusafari ameana kusafiri kibiashara since 2011.
mausiano ya mke na mume ni ya kawaida na ameondokea nyumbani kwake wakati mumewe yupo kazini ambayo ni kawaida

mkuu kwangu mimi nikawaida sanaaaa tena sanaaaa kusafiri na watoto tena 6 kuna wakati nakua na mfanya kazi wakati mwengine peke yangu na watoto na kuchelewa ndege nimesha chelewa tena kizembe nimesha chelewa ndege wakati niko duty free sasa ni kawaida kwa binadamu hakuna cha ajabu hata kimoja,ila yeye alofanya kama vile mtu amechelewa safari ya peponi anavypiga kelele sio uwanaume kabisa.
 
Huyo atakua alilimbikiza kesi za nyuma, sasa akapata pa kutolea mihasira bila kujua anajidharirisha, mwambie bibie a relax asifanya maamuzi ya kukurupuka, talaka hazina maana aisee
Hata mie naona manake amechambaaaaaa kama wale wanawake wa uswahilini bele ya rafiki wa mkeo na watoto shame on him.
 
Habari Waungwana,

Kuna jambo limenikera sana, rafiki yangu bahati mbaya amechelewa kufika airport due to traffic.
ikabidi amepigie mumewe cm amuelezee kua amechelewa na ndege imemuacha,bwana yule
bila kutaka kujua amemtukana mkewe na kumwambia asuridi nyumbani yeye anamtegemea nyumbani baada ya 14days sio chini ya hapo na asijaribu kurudi nyumbani atakijua kilichomtoa
kanga manyoya.

Imebidi anieleze yalio jiri nikamwambia njoo nyumbani kwanza halafu tutaongea na mumeo huenda hasira tuu na stress za kazi, shoga kafika nyumbani akampigia kua yupo kwangu jamaa
akaja nikajua anakuja kumchukua mkewe Looo bila aibu kaanza kumtukana tena mwanamme yule ana chamba kama kalelewa na mashoga hata staha hana na juu ya kichambo chote hicho
still kamuacha mwisho anamwambia tena usijishaue naoa karibuni.

sasa shogangu anasema anarudi kwao safari ya nje imeishia hapo anataka Talaka nimemwambia
nimapema sana ila wanaume wanaume wanaumeeeeeeeee sio vizuri kumtupia mkeo au G/F wako maneno kwa kosa dogo na mwanamme humuita mkewe kwa mahaba ukamuliza sababu
siokumtolea maneno wanaume tafadhali wenye tabia hii wacheni mnawaumiza moyo wenzenu.
Hpn dada yngu huyo rafiki yko kutakuwa kuna mambo amekufisha sina hakika km ni kuchelewa ndege kutakuwa kuna vitu vingine nyuma yke tatizo wanawake mmekuwa wajuaji wa M-bishi amtaki kuelezwa jamaa itakuwa amechoka na vitu km hivyo...
 
Kilichomkera jamaa ni kupoteza hela kizembe, si ajabu huyo dada kachelewa wakati wa kujipodoa

Sasa si ndio bahati mbaya? asamehe tuu amwambie mkewa basi pole safari ni hatua,afanye arrangement nyengine asafiri,lakini mwanamme anafoka kama kanyweshwa pili pili.
 
Hpn dada yngu huyo rafiki yko kutakuwa kuna mambo amekufisha sina hakika km ni kuchelewa ndege kutakuwa kuna vitu vingine nyuma yke tatizo wanawake mmekuwa wajuaji wa M-bishi amtaki kuelezwa jamaa itakuwa amechoka na vitu km hivyo...
Nisawa huenda ikawa hivyo ila angefanya hivyo nyumbani au wakiwa wawili why mbele za watu? mie imeniuma sana najiuliza anamuonaje mkewe?
 
Nisa huenda ikawa hivyo ila angefanya hivyo nyumbani au wakiwa wawili why mbele za watu? mie imeniuma sana najiuliza anamuonaje mkewe?
kuchoka wanaume wengi tuna tatizo la kuvumilia vituko muda mrefu sema ukisema basi inatosha ndio matokeo yanakuwa km hayo niamini ndugu yngu rafiki yko amekuficha mumewe sio kichaa ila amechoka usikute ndege ilikuwa inaondoka saa sita mchana na toka mbili asbh anakumbusha jitaidi utoke mapema foleni nn lkn ndugu yko ubishi na maneno dharau juu hlf uchelewe kweli ndege unategemea majibu gani...
 
Hapo ukute jamaa ndo katoa hela ya safari

Kwa nini asiwake

Pia jua wanajuana hao

Hakuna kosa kwa wote wataelewana tu
Inshallah ila huyu mwanamke nimemwambia astahmili manake sio madogo.
 
kuchoka wanaume wengi tuna tatizo la kuvumilia vituko muda mrefu sema ukisema basi inatosha ndio matokeo yanakuwa km hayo niamini ndugu yngu rafiki yko amekuficha mumewe sio kichaa ila amechoka usikute ndege ilikuwa inaondoka saa sita mchana na toka mbili asbh anakumbusha jitaidi utoke mapema foleni nn lkn ndugu yko ubishi na maneno dharau juu hlf uchelewe kweli ndege unategemea majibu gani...

Mkuu ni sawa kukasirika ila sio kumtolea maneno kiyasi kile bila hata aibu hana.
 
Back
Top Bottom