NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
- Thread starter
- #101
Kama hana chura hata simuheshimu!
hahahahhah sasa jamani chura na heshima wapi na wapi? lol
Kama hana chura hata simuheshimu!
Ipo siku utanielewa uwezi kuwa unamueleza mtu mzima kitu kimoja kwa miaka 3 bila mabadiliko yyote lazima utachoka tu kilichopo hapo Shemeji yko uvumilivu umefika kikomo.Mkuu ni sawa kukasirika ila sio kumtolea maneno kiyasi kile bila hata aibu hana.
Yeye nyumbani kwake alikuwa hakujui!!?? Angerudi aone jamaa kama angemtimua mpaka hizo 14 days ziishe. Mke wa mtu unaenda kulala kwa rafiki!?
Maskini. Kama namuona dada wa watu anavyohaha kusikia ndoa hamna na mume anaoa.
Hapo hakuna ndoa wala hakuna cha kusikitikia labda kuachwa na ndege tu.
Wanaume wengine ni headache. They are just frogs you gotta kiss before you get to your prince.
Inasikitisha lakini kwa nilivyo muona yule mwanamme kwa haraka haraka sio mwanamme mwenye dhamana kwa mwanamke ila ni shogangu siwezi kumwambia nimemwambia astahmili tuu mengine ajiongeze mwenyewe.
Angerudi tu nyumbani. Ni mume wake au ndio wale wa kusogezana tu?mume akaanza kuwaka nakumwambia usirudi wapi utaenda utajua wewe.
Mkuu unadhani si wish kumwambia ukweli? ila sitaki kua adui wa ndoa yake na wala kua sababu,ningekua mimi ningeweza kujiamulia ila mtu mwengine sio sawa kumwabia ningekua mimi mbona angesha niwacha zamani,wacha ajiongeze.Binafsi ushauri ambao ningempa rafiki yangu ni ushauri ambao ningeufata mi mwenyewe.
Kwanini usimwambie ukweli?
Mume wa Ndoa na wana 3kids ila sijui ameweza kumvumiliaje 6yrs mie siwezi.Angerudi tu nyumbani. Ni mume wake au ndio wale wa kusogezana tu?
hahahahahWanaume wa kushinda instagram hao wamekariri maneno yavichambo yote.
Unaweza kuta alichelewa ndege sababu ya uzembe, tatizo mkilegezewa sana mnabweteka. Baadhi ya wanaume wanakuwa strict sababu akili zenu wengi hamjielewi
Nadhani hapo kwenye kuoa ndio shida inapoanza.Huyo alikua anataka kufikisha ujumbe wa kuoa akatafuta chanzo....mpe pole bi dada ila Wanaume looool kazi ipo
Unaachwaje na ndege? Toa sababu za kuachwa na ndege.
\Sasa kuchelewa ndege si unaongeza dollar 50 mpaka 100 unapata ticket nyingine ya kesho yake mbona siyo big dill ata! Sema jamaa anaonekana kama ela kakopa na kampa mkeo afanye bishara mke ni mzembe anachezea ela ya mumewe bila uchungu na halo hii ya biashara ni ngumu sana unamadeni mia kidogo alafu na madead stock Kariakoo bao alafu unasikia mtu anakwambia nimechelewa ndege kweli jaman usipate hasira kweli, unakuta mtu kaondoka nyumbani tokea asbuhuh ndege za china zinaondoka saa kumi njion mpaka saa kumi na mbili jion sasa mtu anakwambia kachelewa utaelewa kweli au ndio anapita kwa mchepuko kidogo then safar coz hawa wafanya bisharawa china mh! Ni noma coz huko china hotel kama mpo chuo kikuu coz mnakaa kwa nchi utakuta watz kibao sasa hapo wake za watu wavyo liwa kama first year vile chuo
Very true lakini.Mkuu unadhani si wish kumwambia ukweli? ila sitaki kua adui wa ndoa yake na wala kua sababu,ningekua mimi ningeweza kujiamulia ila mtu mwengine sio sawa kumwabia ningekua mimi mbona angesha niwacha zamani,wacha ajiongeze.
Pole yake. Alikosea sana kutorudi kwake.Mume wa Ndoa na wana 3kids ila sijui ameweza kumvumiliaje 6yrs mie siwezi.