Mwanamme Heshimu mkeo/GF wako

Mwanamme Heshimu mkeo/GF wako

Very true lakini.

Aisee ushoga mzigo. Kuna watu wakizama kwenye mapenzi wanakuwaga maboya sana. lol

Hili nimejifunza kutokana na kosa,nilimnwambi wifi yangu kwanini unamuachia Bro anasafiri kila mwezi na wewe ni mke sasa usikubali akakuzidi kete na nahisi atakua na affair duuuuuuuuuu bibi yule wamegombana siku aliopewa mapenzi moto sianiseme
uso ulikua mdogooooooooooo nilijua kama umbea si kazi, kazi kusutwa baada ya hapo hata nikimuona bro na mwanamke najifanya kama sijaona au simjui,mdada yule alimfumania akaja wifi sijui nikamwambia apana hawezo kuchukua mwanamke zaidi yako tulia tuu.
 
Mku mie niliachwa mara ya kwanza nilikua nafanya shopping duty free sasa ilikua flight ya usiku hata sijui ilikuwaje na watoto wananambia Mom its 0130hrs mie hata sijui nilisikia saangapi nafika kwenye gate 0210 ndege inaruka 0220hrs nilijiona mzembe
ilibidi nilipe date change za sote watu 8 roho iliniuma, na mara ya pili walichange gate sasa hata sijasikia tangazo nimefika kwenye gate bado 10minutes wafunge,na kutoka gate nilokuwepo mpaka gate wanako board 15-20 minutes walk,baada ya hapo niko makini.
Kuachwa na ndege ni uzembe hakuna kingine, hata mtu akisingizia foleni bado haileti maana. Usafiri wa ndege sio daladala eti. Ila nyie mliozoea ndege mnaweza kuzifananisha na 'uber' tu..teh kidding!!
 
Hili nimejifunza kutokana na kosa,nilimnwambi wifi yangu kwanini unamuachia Bro anasafiri kila mwezi na wewe ni mke sasa usikubali akakuzidi kete na nahisi atakua na affair duuuuuuuuuu bibi yule wamegombana siku aliopewa mapenzi moto sianiseme
uso ulikua mdogooooooooooo nilijua kama umbea si kazi, kazi kusutwa baada ya hapo hata nikimuona bro na mwanamke najifanya kama sijaona au simjui,mdada yule alimfumania akaja wifi sijui nikamwambia apana hawezo kuchukua mwanamke zaidi yako tulia tuu.
All it takes is a good dick whooping yaani.
 
Jamani hata kama ndio kizembe asigombe jamani, mie mbona nilichelewa ndege wakati nikiwa Duty free nilipofika kwenye Boarding gate flt imesha fungwa, nikampigia cm nikamwambia nime miss flt kasema oooh mke wangu bora ulivyokua hujaenda leo nta enjoy na wewe,sio kama alifurahi no na nilijua kama nikifika home lazima atasema.
Ndo maana nakwambia hamjatulia, international flights unatakiwa uwe airport masaa 3 kabla ya safari. Hayo masaa 3 yote umeshindwa kupita kwenye ukaguzi na kufanya check in
 
Mtuchukulie tuu mwaya......
 
Kuachwa na ndege ni uzembe hakuna kingine, hata mtu akisingizia foleni bado haileti maana. Usafiri wa ndege sio daladala eti. Ila nyie mliozoea ndege mnaweza kuzifananisha na 'uber' tu..teh kidding!!

Mkuu sikufichi nadhani hua tunakua tuna uhakika hatuachwi..lol
 
Which trafic jam hapa mjini?? ameshindwa chukua bodaboda kweli mi siamini hata kidogo...huyo mzalamo aoe kabisa ma--mae
 
Sio vizuri kumshadidia mwenzio mabaya,akisha Oa halafu watoto wake wamuone Baba yao kwa zamu? sio sawa kabisaaa..
 
Back
Top Bottom