Mwanamme Heshimu mkeo/GF wako

Mwanamme Heshimu mkeo/GF wako

Duuh! Aiseeee.

Kuna baadhi ya wanaume ni changamoto jamaani lol.
Mapema kulaumu mwanamme kwa hili. Tumlaumu tu kwa kumwaibisha mbele ya shosti.

Ila nyuma ya pazia huenda yalishatokea ya kutokea mengi.

mfano, Safari ilipangwa ila hataki kwenda, au kaamka asubuhi kaamshwa anaanza kukataa kusafiri na safari ndiye aliyeilazimisha.

Yaani wanawake huwa muda mwingine anakuambia au anafanya jambo ukilifikiria unashindwa cha kufanya.

Endeleeni hivyo tu nyie.
 
Huenda jamaaa ana hasira za gharama kukata air ticket nyingine
Mkuu ni sawa labda amekukera lakini sio kitu kikubwa kiasi chakumwambia sirudi nyumbani, mie nachelewa ndege saanyengine nikiwa duty free na mumewangu hagombi anasema kila linalo kuepuka lina kheir na wewe,hivi huyu mwanamme anajua labda mwenyezi mungu anamuepusha nini mkewe?
 
Why do people like being in a relationship with shit people.

From the looks of things I can assure you such an incidence isn't the first occurrence. It probably has happened before, most likely even when they were just dating.

Probably she thought he would change after the marriage, or that she can handle it.
 
It is the beginning of the end, kama hamtaki, asiforce kupendwa huenda huenda mwanaume yule haoni tena thamani ya kua na mwanamke huyo , amepata mwingine, cha kufanya amtafte kaka yake amsindikize akachukue vitu vyake na amtakie kila la kher mwanaume yule

Nimemwambia asichukue hasira siunajua wanaume sometimes wanakua na wazimu wao,ila amelia sanaaa she is very hard working ila huyu mwanamme mwehu sanaaa.
 
Nimemwambia asichukue hasira siunajua wanaume sometimes wanakua na wazimu wao,ila amelia sanaaa she is very hard working ila huyu mwanamme mwehu sanaaa.
Mpw pole kumbuka tupo sayari dunia hii najua maumivu anayopata ,ni majaribu tu asimame imara atavuka vizingiti nae atapata faraja na tumain la kudumu
 
Back
Top Bottom