Mwanamme 'emotional'

why cheat?
 
Habari,
Pole Kongosho ama Pangrease

Kuna makundi makubwa ya manne ya tabia za watu, ambayo huchangamana ,mix na kuunda makundi mengine madogo manane. Kila mtu hujikuta akaangukia ktk kundi fulani ama lingine.

Kwa wastani watu wengi hujikuta wakipendana makundi tofauti, ndo huleta ukamilifu mzuri, kwa mfano mwanamke mcheshi mwongeaji si ajabu akajikuta ktk mikono ya mwanaume mkimya asiye ongeaongea,

Haya makundi ya watu yana tabia ama sifa tofauti, nzuri na mapungufu vilevile, Lakini mapungufu yaweza kuwa shaped ama learned na ama kukabiliwa na kufanywa strengths.

Ki msingi sifa za mwanaume ama sifa za mwanamke ni matokeo ya matarajio ya kijamii tu, ukiondoa yale ya kibaiologia wanaume na wanawake wote waweza kuwa amastrong ama weak, emmotional ama blunt emotionally.

Kukusaidia;Ondoa fikra kwamba mwanaume kuwa emotional ni weakness, sio lazima. Wewe kama uko relatively uni emmotional then you are the best match kwa huyo mwana ume. However kabla hamjawa pamoja nataraji kuwa mlitumia sometimes kuwa pamoja kusomana kitabia mkaona mnaendana then mkachukuana. Kuanza kumwona kwamba yoko too emmotional kwa weza kuleta mashaka kuwa kuna watu bora umekwisha waona, kwa mtazamo wako lakini, hasa kazini, ama sehemu zingine ambako watumia muda wako mwingi.

Pili waweza tembelea wanasaikolojia, washauri, ambao maranyingi nawaona ktk baadhi ya makanisa, au utafute vitabu kwa mfano 'why do you act the way you do" nimemsahau mtunzi; utaweza kujua mapungufu na strengths zako na mwenzio na jinsi ya kuchukuliana kuyafanya mapungufu yawe strengths.

Tatu, kama yuko mwepesi ku express emmotions, ndo mzuri, hawezi kukaa na shida usijue, ukimmuudhi kama akilia ndo imekwisha, hawezi kupata stress, unaweza ukambembeleza ndo upendo huo, akisha nyamaza umwambie jamani usilie kirahisirahisi hivyo we mwanaume. Mheshimu kama mume wako, kama unamshinda kipato mpe au mpange pamoja matumizi, aongeze kujiamini, msifiesifie hata katika ujinga.

Vilevile angalia familia anakotokea alilelewa vipi, wazazi wake wapo? alilelewa nawalezi wengine? ni mtoot wa mwisho ama wa kwanza, kipato cha wazazi wake kkilikuwaje vyote hivyo vyaweza kuangaliwa na kusaidia kujua chanzo na hata kurekebisha

Mwisho; usiwe also optimistic kwamba utambadilisha, anzakujifunza kuishi nae hivyohivyo hata kkifo kitakapowatenga,

Soryy kwa story ndefu na kuchanganya lugha alam
 
Kwa hiyo unachosema wewe ni kwamba emotionalism ni 'learned behavior' na siyo 'innate behavior'?

::
We are born pure,,our minds are free dusts za mitafaruku ya fikra,,ideas,,masimango,,chuki,,ubinafsi.
PAMOJA NA KUZALIWA WASAFI lakini tunakutana na jamii ambayo imejaa uozo.
Kwa hiyo upuuzi wote tunaokusanya na kuuita akili Usipoutawala Ukakutawala lazima emotions zikuendeshe.
IN SHORT
Kwa asilimia kubwa ni learned behaviour ambayo passive learning inapozidi ni matatizo.
::
For further reference tafuta kitabu cha "emotions" cha Augusto Cury au Mult focal Intelligence au Mwanasaikolojia Vygosky ktk nadharia ya Constructivism inayolenga kuwaandaa watoto ku-speak out their emotions at early age ili kuepuka improper control of emotion.
::
Mtazamo binafsi
Sisemi emotions ni mbaya but emotions are good but sometimes stupid.
They need maxmum care and intelligence.
=
 
Kipimo ni kipi? Too emotional inaanzia wapi?
Na mwanamke it is okay kuwa too emotional? Mimi limwanaume linaloficha hisia silitaki.
 
Mwanaume wa namna hii lazima amboe mkewe kila siku
 

kwenye RED,ni ipi hiyo inayotakiwa,minguvu ya kutosha au uwezo wa kukabiliana na changamoto mbalimbali,,,mind u...hivyo ni vitu viwili tofauti...

 
kipimo ni ralative kati ya mtu na mtu kutegemea na anachohitaji.

Kwangu mie ni sawa mwanamke kuwa emotional ukimlinganisha na mwanamme aliyenaye.

Kuonesha hisia ni suala jingine nikilinganisha na kuwa 'emotional'

umeona mfano nilompa NN? Mtu kasingiziwa kabaka, badala ya kutafuta suluhu anawaza kujiua, kweli?

Kwangu mie it was okay kama angelia na kuonesha emotios zake ila kuwaza kujiua? No way.

Kipimo ni kipi? Too emotional inaanzia wapi?
Na mwanamke it is okay kuwa too emotional? Mimi limwanaume linaloficha hisia silitaki.
 
sikatai kuonesha hisia

nashindwa kujua cha kufanya unapojikuta mwanamme yuko emotional kuliko mwanamke.

Tena ni afadhali aoneshe emotions zake angalau ujue unadeal na mtu wa aina gani ukae naye kwa tahadhari.

Tatizo jinsi ya kumhandle.

Sasa si bora anaye onesha hisia unabaki na kazi moja tu ya kutatua, kuliko yule ambaye hujui hata anawaza nini.
 
Kwenye relationship naamini kwenye kukamilisha jig saw puzzle. Where he is weak hata kama nami nilikuwa weak i will make sure that i become strong. I wouldnt mind kumshikilia mkono na kumpa reassurance kwamba tutavuka hili pia. By the way nitajiona mwenye bahati kwa angalau kujua emotions zake. Manake hata mimi binafsi unaweza kunipita na combats zangu na kofia kumbe chini ya kofia nalia kama mamba alielambishwa pilipili. Na nikifika kwa ninaempenda nitaubwaga moyo na kulia hadi makamasi!
 
kusema ni nzuri sana, inasaidia kujua umsaidieje mtu.

Tatizo ni option alochagua, kwangu mtizamo wangu kusingizewa umebaka sioni kama ni sababu ya kujiua.

Hasa pale ambapo hata kesi haijaanza na hujaona uelekeo wa kesi, kwa nini asiwaze kutafuta mwanasheria kwanza?

Sasa si bora anaye onesha hisia unabaki na kazi moja tu ya kutatua, kuliko yule ambaye hujui hata anawaza nini.
 
Ila zombie mwaka huu atatukomesha!
Umenikumbusha the first time i saw my dad crying. Sitakaa nisahau ile scene aisee.
 
kuoesha hisia ni haki kabisa hasa kwa ampendae.

Na kila mmoja at a point huwa nakuwa weak.

Tatizo langu ni pale ambapo kila siku mwanamme ni weak kuliko mke wake kwenye tatizo la aina yeyote.

Utam-handle vipi? Unajua si kila mtu kakua kwenye mazingira ya kumpetipeti mtu. Kuna saa nataka mtu awe ngangari ili tuweze survive wote.

 
ha ha ha, atanikomeshaje?

Emotional, anani-worship(sosi - Natalia), afu yuko mwenyewe mwenyewe tu.

Ujue inatisha kuona mwanamme analia, umeona eeh!

Ila zombie mwaka huu atatukomesha!
Umenikumbusha the first time i saw my dad crying. Sitakaa nisahau ile scene aisee.
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli napenda mwanaume asiye ficha hisia zake. Maana kujifanya brave huku unaumia inaweza kukuua.

nani anataka mjane sasa na ubinti huu(hii ni mada ya siku nyingne lol)
wanaliweeeeeka matokeo yake wanajirestisha in pisi
nimekubore nambie
nimechemsha jus tell me
nimekupa mawingu ,tombokaaaa tu!
sio maswala ya kunipa kazi ya kuotea otea !nani sasa anataka kurimrith shehe yahya!
 
Ila zombie mwaka huu atatukomesha!
Umenikumbusha the first time i saw my dad crying. Sitakaa nisahau ile scene aisee.

ahahahahahha hakuna rangi tutaacha kuona!
yani we acha tu!
lakin sasa tutafanyaje na konnie ni wetu kwa shida na raha!
mi navumlia tu mwenzangu unafkir ubridemaid siutaki!
so wacha tubrainstomishe tuuuu mwisho wa siku to mek an easy way kwa zombie!
 
kwa hiyo unataka hard looking?
ahahahhahah mi nataka mwanaume awe rainbow bana!
 
uwezo wa kukabilian anachangamoto na sio kubeba vyuma.

Asante sis kwa kunisaidia kujazilizia. Ni kama tukimuongelea strong woman, mtazamo wa haraka haraka ni jinsi anavyokabili changamoto mbali mbali, na si uwezo wake wa kuhamisha magunia kutoka garini kuingiza ndani ya nyumba.
 
ha ha ha, atanikomeshaje?

Emotional, anani-worship(sosi - Natalia), afu yuko mwenyewe mwenyewe tu.

Ujue inatisha kuona mwanamme analia, umeona eeh!

Yaani sijui unatakiwa uanze kubembeleza! Kuna issue nyingine mfano msiba, mwanaume analia kweli anaweza kukuliza na wewe kwa zile hisia tu kuwa leo kweli yule bwana yamemfika!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…