::
Kongosho
Mwanaume emotional ni zao la malezi,,too much anxiety,,low self esteem na stress.
Watu hawa wanapokuwa na tatizo hili wanahitaji kuwa na psychrists mapema.
::
Mwanamke unapopata zawadi ya kuwa na mwanaume wa aina hii,na ukawa strong..fanya yafuatayo kumsaidia
1.Kuwa postive ktk kauli zako.
2.Jitahidi kumsifia maana neno dogo toka kwa mke wana exaggerate ili kulipatia maana nyingi.Ila sifa ni dawa kwao.
3.Mwambie asiweke dunia ktk moyo wake bali Dunia imuweke ktk moyo wake.
=
nahofia maamuzi yao.
Anapatwa na tatizo, mwingine unaona la kawaida yeye anajirestisha in pisi.
Ila nataka kujua jinsi ya kukabiliana na mtu wa aina hiyo. Ukizingatia hata mpendane vipi kukwaruzana kuko pale pale na huwezi jua yeye akalichukuliaje.
Yaani wanawake sijui huwa wanatakaje?
Ukiwa strong, wanalalamika, ukiwa emotional pia wanalalamika.
Ama kweli inahitajika akili ya ziada kuishi na hawa viumbe.
Yaani wanawake sijui huwa wanatakaje?
Ukiwa strong, wanalalamika, ukiwa emotional pia wanalalamika.
Ama kweli inahitajika akili ya ziada kuishi na hawa viumbe.
Dawa ni ku'pretend tuu. unabadilika badilika kama kinyonga hapo utaenda nao sawa.What do you?
Dawa ni ku'pretend tuu. unabadilika badilika kama kinyonga hapo utaenda nao sawa.
Kwakweli napenda mwanaume asiye ficha hisia zake. Maana kujifanya brave huku unaumia inaweza kukuua.
Duuh, expectation ya mwanamke yeyote ni kupata mume 'strong', sasa huyu wa kumwaga machozi tena! Yaani atanifanya nimuone kuwa maamuzi yake mengi yatakuwa yanatawaliwa na emotions zaidi. Mwizi akituvamia jamani si atakuwa wa kwanza kuuwahi uvungu na wengine tukose pa kujificha?
Utata zaidi ni kwamba kila mmoja wao ana vipimo vyake.
Too emotional kwa mmoja kwa mwingine ni kawaida na kawaida kwa mwingine ni too emotional kwa mmoja.
What do you do?
Kwakweli napenda mwanaume asiye ficha hisia zake. Maana kujifanya brave huku unaumia inaweza kukuua.
ni kweli, emotional kwa mmoja inaweza isiwe hivyo kwa mwingine:
at least najua kwangu, mfano mwanamme kapelekwa kwa kusingiziwa anakula mwanafunzi wa shule.
Badala awaze atajikomboa vipi, anawaza kama akihukumiwa bora ajimalize.
Mie nimeona ni 'too emotional', mie mwenyewe ningekomaa hadi tone la damu la mwisho. Afu unasikia mwanamme kakata tamaa kiasi cha kuwaza kujimaliza?
Kitu kimoja tu kinapaswa kuwepo kwenye uhusiano,Upendo na kusikilizana. Suala la mwanaume kuwa emotional binafsi linanikera kwa kuwa kuna namna nategemea mwanaume awe kwa jinsi nilivyozoea kuwaona wanaume. Ila hainitishi,kinachonitisha tu mwanaume mwenye uwezo mdogo wa kufikiri na kufanya maamuzi. Akiwa emotional kiasi kwamba hana hela analia hapo sasa atakuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na kufanya maamuzi na hapo nitakimbia....lol
Hao ambao wako suicidal sidhani kama unaweza kusema they wear their emotions on their sleeves.
Kuwa suicidal nadhani ni condition nyingine kabisa aisee.
Ona yule wakili maarufu Nyaga. Si inasemekana kajiua mwenyewe.
Yule jamaa tunaambiwa alikuwa na akili nyingi sana na hizo akili zake nyingi zilipelekea akawa wakili mahiri.
Sasa huyu tunamuweka kwenye kundi gani?
za kupotea? We missed you!
Labda kweli; matarajio ya mwanamme aweje kila mtu inatofautiana.