Mwanamme anataka mimi ndio nimjali

Huo sio uhusiano,Aachane nae tu maana kuendelea katika huo uhusiano ni kujipa shida ukizingatia mwanaume mwenyewe kaoa..mungu atamjalia nae atampata wake atakayempenda na kumjali pia.
 
dada ana date na mhudumu wa bar...
ndo matatizo ya kutongoza wanaume!!
asirudie kutongoza mwanaume..
mwanaume ana tabia ya kishenzi kabisa bado anamng'ang'ania wa nini...
huyo kaka kamfanya kama kitega uchumi..
na yeye kwakua kapenda/limbukeni hata cjui ni nini.. anatoa hela tu!

cha mtema kuni hicho vipiiiii....
amlete kwangu tuonyeshane vya mtema kuni[emoji41]
 
mbona iko wazi kapata anayependa kutunzwa . achague kumtunza au kumuacha, hiyo akimuacha sijui cha mtema kuni haipo hio
 
well said, halafu atakuja hapa ohooo huyu bwana ananinyanyasa na hili au lile.

kwanza ni mume wa wenyewe muache.
 
Dunia na mambo yake ni magumu sana. Jamani ninawaombeni tumrudie Mungu maana tunayotenda ni machukizo. Msichana unajua mtu ana mke wake na wewe unajiingiza. Sasa angalia umekuwa mtumwa na huyu mtu anaweza kukuulia mbali. Tutafakari na tujiulize tunayofanya wakati mwingine yanafaa, yanaleta faida au hasara.
 
anateseka sana kumpenda mtu ambaye hayuko wazi kama anampenda au hampendi - huu upumbavu sana huy si mume wa mtu...ishu za kupenda au kutpenda zinakujaje wkati mnachepuka tu....
 
Yani anakua na mume wa mtu alafu mnampa pole? Mwambie aendelee kuhudumia, siku ujinga ukimuisha atakua na mume wake
 
huyo mwnaume wla hana mapenxi nae. ni mpumbavu tu
 
si apunguze mawasiliano baadae akate kabisaa, kuhusu kuonana awe anamkwepa akisingizia yuko busy, ikiwezekana ahame kabisa ila amuache taratibu taratibu
 
si apunguze mawasiliano baadae akate kabisaa, kuhusu kuonana awe anamkwepa akisingizia yuko busy, ikiwezekana ahame kabisa ila amuache taratibu taratibu
ni ushauri mzuri
 
Reactions: THT
We utakua Una nyota ya mchepuko ndio maana unateseka halaf unang'ang'ani tu

kwani wanaume wameisha hadi uteseke kwa huyo mume WA mwenzio
 

Mnhhhh hadi nimekuogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…