Mwanamke ...

Mwanamke ...

Hivi huu werevu wa mwanamke unaozungumziwa hapa ni werevu wa kumfanyia services mwanaume tu??? Hivi mnadhani wanawake ni vyumaaaa? Mtu aende kazini kama wewe, arudi akuvue soski sijui aruke mgongoni aku massage then akapike na msosi akutengee na ikibidi akuogeshe kabisaaaa na akuwekee naniliu kwenye kisosi huko bafuni zisiguse chini? Akufulie sujui, akupigie pasi na kila kitu wewe kazi ku watch tv tu? Hivi wanaume wa hivI hamna HAYA? HUFIKURII NA MWENZIO ANACHOKA? HOW COME ITS ALL ABOUT YOU, YOU AND YOU kupumzisha ur a$# wakati mwenzio anaumia?! What a shame! Wewe ukiruka mgongoni kwake ukam massage sio mwanaume mwerevu?! Jumamosi mkafua wote unaona utakufa?! Halafu na hela zake umlie all in the name ya "kusaidiana"?! Hamna haya wanaume wa hivi mtawavunja wake zenu kwa kazi ajirini wafanyakazi kama mikono yenu imekatika! Kuzifanya hizo kazi wenyewe hamuwezi mnadhani ndo rahisi kwetu. Akija kitandani akakwambia amechoka utadai mvivu. Hizi si kazi za mke

SH'Z NOT A SLAVE JAMAN
 
Yanawezekana yote inategemea na tabia ya mwanaume,hunijali hujui majukumu yako wala nafasi yako kwangu kama mwanaume then nifanye hayo yote kwako,kwa kuwa nauogopa au unanitawala sana?

NIMEIPENDA,,,,hanitimizii mahtaj yngu, mbabe,hanisikilizi,et mke ni mtumwa! hathamini hata kidogo nnachofanya, n mkali, hapokei ushauri hana asante, hajali akifika unasikilizia kajaje mpole mkali,dk 2 2shatbuana kwa nn nclale mapema kuepuka makelele?,,na huo moyo wa kufanya hayo nautoa wap??? au nna moyo wa chuma jaman? unalotaka kutendewa anza wewe kwa kuonyesha mfano.
 
Oh! Njema sana, tunaomba basi na ya mwanaume mwerevu,ila jua tu Mungu anakupa wa kufanana na wewe, wewe ukiwa

mwerevu mwanamke pia atakuwa mwerevu,ukiwa mjinga na mkeo naye the same two times.
 
umewaonea sio wote wako hivyo, hizo ni tabia za mtu mmojammota, kuwajumuisha wote si haki, kuna wanawake wanalea wanaume na ukoo mzima, salute kwao, NAWAHESHIMU SANA WANAWAKE
 
Umenifanya nilog in.. nifanye yote hayo kwa mwanaume gani ?na faida yake nalipwa nini?
 
Mazuri afanyiwe mwanaume tu,kwani mm staki kufanyiwa,hata mm nataka massage na makila kitu eboooo
 
jamani wanaume ni wabinafsi!!! mnadhani wenzenu ni marobot, mke ni msaidizi na sio mtumwa, tambueni hiyo dhana mmeikiuka sn na cjui mtamjibu nn Mungu
 
Patamu Apa Wanawake Naona Wamekuja Juu Kama Mvua
Kwani Hamjui Wanaume Tumepewa Daraja Kubwa Kutoka Kwa Mungu.
 
Yooooooote hayo nikufanyie hivi wakati huo mimi ni mama wa nyumbani?au.Hivi kama ninaenda kazini kama wewe nidamke asubuhi na mapema labda saa 10 alfajiri, nianze kukufanyia shughuli hizo labda pamoja na watoto, hivi kazini kwangu kweli kutakuwa na ufanisi, halafu kama niko Dar na ninategemea daladala .... hivi mimi ni roboti/......haya ni makubwa madogo yana unafuuu.Kaaaaaaaaaaaaaaziiiiiiiiiiiiiiii kweli kweli kwa kwa huyu mwanamke.
 
Ni mwanamke au housemaid. Kazi sana kuwa muerevu
 
du mie nahisi mada nyingine zinatungwa kujua reaction za watu sijui ili iweje...
 
Back
Top Bottom