64Bits
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 961
- 565
Hivi huu werevu wa mwanamke unaozungumziwa hapa ni werevu wa kumfanyia services mwanaume tu??? Hivi mnadhani wanawake ni vyumaaaa? Mtu aende kazini kama wewe, arudi akuvue soski sijui aruke mgongoni aku massage then akapike na msosi akutengee na ikibidi akuogeshe kabisaaaa na akuwekee naniliu kwenye kisosi huko bafuni zisiguse chini? Akufulie sujui, akupigie pasi na kila kitu wewe kazi ku watch tv tu? Hivi wanaume wa hivI hamna HAYA? HUFIKURII NA MWENZIO ANACHOKA? HOW COME ITS ALL ABOUT YOU, YOU AND YOU kupumzisha ur a$# wakati mwenzio anaumia?! What a shame! Wewe ukiruka mgongoni kwake ukam massage sio mwanaume mwerevu?! Jumamosi mkafua wote unaona utakufa?! Halafu na hela zake umlie all in the name ya "kusaidiana"?! Hamna haya wanaume wa hivi mtawavunja wake zenu kwa kazi ajirini wafanyakazi kama mikono yenu imekatika! Kuzifanya hizo kazi wenyewe hamuwezi mnadhani ndo rahisi kwetu. Akija kitandani akakwambia amechoka utadai mvivu. Hizi si kazi za mke!