Mwanamke ...

Mwanamke ...

Hivi huu werevu wa mwanamke unaozungumziwa hapa ni werevu wa kumfanyia services mwanaume tu??? Hivi mnadhani wanawake ni vyumaaaa? Mtu aende kazini kama wewe, arudi akuvue soski sijui aruke mgongoni aku massage then akapike na msosi akutengee na ikibidi akuogeshe kabisaaaa na akuwekee naniliu kwenye kisosi huko bafuni zisiguse chini? Akufulie sujui, akupigie pasi na kila kitu wewe kazi ku watch tv tu? Hivi wanaume wa hivI hamna HAYA? HUFIKURII NA MWENZIO ANACHOKA? HOW COME ITS ALL ABOUT YOU, YOU AND YOU kupumzisha ur a$# wakati mwenzio anaumia?! What a shame! Wewe ukiruka mgongoni kwake ukam massage sio mwanaume mwerevu?! Jumamosi mkafua wote unaona utakufa?! Halafu na hela zake umlie all in the name ya "kusaidiana"?! Hamna haya wanaume wa hivi mtawavunja wake zenu kwa kazi ajirini wafanyakazi kama mikono yenu imekatika! Kuzifanya hizo kazi wenyewe hamuwezi mnadhani ndo rahisi kwetu. Akija kitandani akakwambia amechoka utadai mvivu. Hizi si kazi za mke!

^^
Aisee!
^^
 
Huyo mwanamke mwerevu ni house wife, na anapendwa sana na mumewe. Huyo mwingine ni mfanyakazi possible engineer ambaye mumewe ni mlevi na hana mapenzi na mkewe. So mdada ametoka kazini possible site kukoromewa na magufuli, au bosi wake (kumbuka hiyo fani imetawaliwa na mfumo dume), kuja nyumbani badala ya kukuta an understanding husband anakutana na insecure nagging excuse of a man. So anakuja kachoka roho na mwili anakuta mbaba kajilaza kwenye sofa akisubiri avuliwe viatu na soksi.
Tukirudi kwenye development, mume badala ya kujenga yeye ni kuweka heshima bar; kwanini mmama asijenge kisirisiri?
Cc: Kisima
 
Last edited by a moderator:

kama ulikuwa akilini mwangu. Well said
 
Sema wewe kiazi!.....
 
Last edited by a moderator:
Nategemea na yanayohusu mwanaume yapo njiani.Wanaume uwa mnazani umu duniani akitoka Mungu mnafata nyie.Jaribuni kubalance mzani kila cku ufuliwe wewe uwezi kusema ata
cku moja leo nipo home nifue nguo za watoto na mke wangu.Maana ya msaidizi inakuja pale tu unapoelemewa, na sio kumgeuza msaidizi muhusika Mkuu.Ndo Maana tukachomolewa ktk ubavu wala si kwenye visigino mtukanyage.Watendeeni wake zenu yale mnayopenda kutendewa.
 
Thank you! Na kwa hela ipi wanayowatunzia wake zao? ptuuuuuuuuu..... uvuliwe soksi umekuja na dollars au unarudi na jasho na madeni?

Teheeee hata mimi ndo nashanga Cyan! Baby I loveeee youuuu nyiiingi ataka avuliwe na soksi mfukoni ana buku mbili! Heheheeeee wenyewe wanasema "kantangazeeeee..."!
 
6.Anapenda ndugu zako(siyo mama mkwe akija anasimamisha pua juu kama kitimoto)

Jamani hapa kazi kweli kweli nao inabidi wampende sio yeye tu maana na ndugu wa mume huwa wanajifanya kuwa the top sana hadi kwenye hakuna....
 
Nategemea na yanayohusu mwanaume yapo njiani.Wanaume uwa mnazani umu duniani akitoka Mungu mnafata nyie.Jaribuni kubalance mzani kila cku ufuliwe wewe uwezi kusema ata
cku moja leo nipo home nifue nguo za watoto na mke wangu.Maana ya msaidizi inakuja pale tu unapoelemewa, na sio kumgeuza msaidizi muhusika Mkuu.Ndo Maana tukachomolewa ktk ubavu wala si kwenye visigino mtukanyage.Watendeeni wake zenu yale mnayopenda kutendewa.

Maana ya msaidizi ni kwamba anamsaidia mfanyaji Mkuu! Mume apike mke amsaidie kuosha vyombo, mume afue mke amsaidie kuanika, mume alete unga wa ugali mke alete kitunguu na nyanya!
Siyo mume kukaa kama mnyapara wa gereza la Ukonga
 
umejiandaaje kutokumchosha huyo mwanamke mwerevu, mwenzio kule analia mwanamke kaskia ana mchepuko kaacha kuchangia kapuni, mnapenda raha mpewe nyie tu
 
Hivi huu werevu wa mwanamke unaozungumziwa hapa ni werevu wa kumfanyia services mwanaume tu??? Hivi mnadhani wanawake ni vyumaaaa? Mtu aende kazini kama wewe, arudi akuvue soski sijui aruke mgongoni aku massage then akapike na msosi akutengee na ikibidi akuogeshe kabisaaaa na akuwekee naniliu kwenye kisosi huko bafuni zisiguse chini? Akufulie sujui, akupigie pasi na kila kitu wewe kazi ku watch tv tu? Hivi wanaume wa hivI hamna HAYA? HUFIKURII NA MWENZIO ANACHOKA? HOW COME ITS ALL ABOUT YOU, YOU AND YOU kupumzisha ur a$# wakati mwenzio anaumia?! What a shame! Wewe ukiruka mgongoni kwake ukam massage sio mwanaume mwerevu?! Jumamosi mkafua wote unaona utakufa?! Halafu na hela zake umlie all in the name ya "kusaidiana"?! Hamna haya wanaume wa hivi mtawavunja wake zenu kwa kazi ajirini wafanyakazi kama mikono yenu imekatika! Kuzifanya hizo kazi wenyewe hamuwezi mnadhani ndo rahisi kwetu. Akija kitandani akakwambia amechoka utadai mvivu. Hizi si kazi za mke!

hahaha MFYUUUUUUUUU
 
Wanaume wa kiafrika wabinafsi jamani....sijapata ona. Hivi huyo atakuwa ni mke ama roboti!!??
Katika hali ya kawaida hilo ni ngumu.
Na mwanaume wa aina hii hana mapenzi na mkewe hata. Ukimpenda mtu sidhani kama utataka kumwona anaumia, manake hizo mleta mada amezimention hapo si kazi bali ni kupeana maumivu.
Sasa unafanyiwa yote hayo wewe ni toy????
Kujazana ujinga tu mkiwa huko bar...
 
Mahaba niue, oooh mume wangu kipenzi I can do anything for u
 
MWANAMKE --------

1.Anamkomoa mmewe
2.Analala mapema kabla ya mmewe
3.Anachelewa kuamka kabla mmewe
4.Mbishi,anahisi kuonewa mda wote
5.Anadhani kumnyima mmewe uny- Umba ni kumkomoa
6.Mmekaa sebuleni anahadithia tu Mafanikio za familia za watu Wakati ye ndo kigezo cha kero.
7.Hataki kuzungumzia mshara wake
8.We unajenga family ye anajenga Kwao
9.Mkikaa tu anaanza umbea kuponda Ndugu na majirani
10.Haridhiki(mwanaume unatoa jasho ila ye anakudiscourage wakati Ye akishuka kwenye kochi anakaa
Kwenye jamvi na baadaye anelekea saloon kupiga umbea kuhusu mama joyce kafumaniwa gesti.
11.Nyumbani housegirl hapunziki.
12.Anajali ajira yake hataki kufuatiliwa mambo yake.
13..Anakera sana,siwezi kuacha kazi yangu hata kama anaumwa,kajikata kucha halafu anadai apelekwe Agha Khan au India.

NOTE:Akikutana na mwanaume kichwa ngumu anamrudisha kwao ameshazalishwa watoto 3,anaenda kwa mwingine anaongezewa watoto 2,anazinguliwa anapigwa toto lingine mmoja mtaani,unakuta kazaa na kila familia mtaani baadaye anaishi ghetto au kwao.

MWANAMKE MWEREVU.
1.Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)
2.Unajiandaa kwenda kazini khaa,nguo zishapigwa pasi(jamani hiyo kazi kafanya saa ngapi?unajikuta unaenda kazini upo kwenye daladala kimoyo moyo unamwambia "I love u honey"
3.Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu hujui hata anazifua saa ngapi maana huwa hujui anazifua saa ngapi?
4.Umejipunzisha kwenye kochi au
Au kitandani mara kakukalia
Mgongoni anakufanyia mesaj
Mgongoni,khaa alijuaje unataka
Ufanyiwe masaj?unaishia kusema
Thanks baby.
5.Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia na unaweza kumpa mtaji mana ni mkweli(ni baraka kwenye familia)
6.Anapenda ndugu zako(siyo mama mkwe akija anasimamisha pua juu kama kitimoto)
7.Anakupa moyo kwenye wakati mgumu,mf,umefukuzwa kazi anakushauri (baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa kama vipi tusimamie ule mradi wangu mpaka uajiriwe)khaa jamani yupo kama huyu fb?upareni?ucha-gani?usukumani je?
8.Ukirudi nyumbani unakuta anamfundisha mtoto wako maadili ya kimungu(wow heri tuzae tu wa pili)
9.Anakufariji.(Baby usiogope ni mapito ya dunia,jikaze mme wangu,nipo upande wako),hehhehe hata ukinuna unabembelezwa.
10.Mwenye kushukuru na suprises,hawezi- kukusahau,(baby hii zawadi kwa ajili yako,umenisaidia sana mme wangu,you changed my life,""baby leo birthday yako,khaa unaona keki mezani"),kuna mke kama huyo?
11.Ana uhakika mimba yako ("baby nina suprise,kumbe mwezi uliopita ulinipa toto,nina mimba yako(siyo ooh khhaaa tumefanya mapenzi juzi tu umenipa dragon mwingine)

NB.Mwanamke kama huyu ni blessing,kila jioni unaona toto zako zimekaa kwenye kochi yaani vitoto vizuri miguu mifupi hata vikikaa kwenye kochi miguu hazifiki kwenye sakafu vinaangalia cartoons.
BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"
 
Mapenzi ni ya pande zote, nani hapendi kufanyiwa mnavyotaka kufanyiwa? Wote ni binadamu na tunahitaji kupendwa na kusaidiwa inapobidi, its not about bossing around just because you are a man, kama ndo ivyo basi weka msaidizi wa nyumbani na si umtegemee mke akufanyie vyote hivyo wakati huo huo ametoka kazini kama wewe bado ana watoto wadogo wa kuangalia, uje kitandani utake pia huduma, kweli? Acheni ubinafsi wa kupenda kufanyiwa nyie tu wafikirieni na wake zenu na muwajali pia. Baada ya kumfanyisha kazi hizo bado utalalamika oh mwanamke kachakaa hajipendi bora nichepuke lakini unasahau hana huo mda wa kujifikiria yeye anakufikiria wewe tu, sio fair kabisa kwenye ndoa tuwe " we" na sio "I".
 
Back
Top Bottom