Mwanamke zinduka usipelekeshwe na mapenzi kiasi hicho

Mwanamke zinduka usipelekeshwe na mapenzi kiasi hicho

Umekuwa nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka saba.Kakupa mimba kumi akakushawishi ukazi abort zote. Ukimgusia suala la kukuoa anaruka hatua kumi nyuma. Shida zako hakutatulii. Kila simu atakayokupigia ni ya kukuita uende kumpa papuchi. Hayuko free kuongozana nae mitaani. Ukishauriwa uachane nae unadai unampenda kuliko kitu chochote. Mambo mengine hata sisi wanaume haturidhi Ungekuwa dadaangu ningekuchinja..

UNA AKILI ZA KUKUSAIDIA WEWE MWENYEWE?

unampenda mtu kuliko nafsi yako
hyo kishuleshule hiyoo!!
na hujajua maisha mi natafta maisha ntakula sura yake?
 
sijaelewa ni uvumilivu upi unaozungumzia wewe! huo wa kuniambia nikatoe mimba? au wa kukaa miaka saba bila ndoa?

sitakuambia kitu kama hicho sweetie wangu.. kwanza nitaanzaje kukuambia utoe mimba? mamaako angekutoa jingeyapata wapi haya romantic eyes?
 
Last edited by a moderator:
kupenda tunapenda,ila kuna muda u js got to use ur head and put urself first,
 
Mada hii ina ukweli ndani yake. Mdada akipenda anakabidhi hadi mamlaka ya mwili wake kwa mwanaume. Wengi wanashika mimba sio kwa bahati mbaya. Anakwambia kabisa kabla ya tendo leo siku ya hatari lakini anasikiliza jibu toka kwako. Ukimjibu tu nitawithdraw atakubali hata kama ulishajaribu siku za nyuma ukashindwa.
Kuna mdada mpaka nikamwonea huruma aisee. Kila mara anazichoropoa halafu na bwana huyohuyo. Nikamshauri atumie contraceptives akanambia hairuhusiwi eti mpaka ajifungue at least mtoto mmoja. Sijui ni kweli.
 
tena wengine wanadiriki kusema ni dhambi.. lakini dhambi ya kutoa mimba anaweza asiione kubwa..
 
ukimuuliza kama anakupenda anajibu yap.... utamwacha mtu anakuambia bado anakupenda?

angalia matendo yake,actions speak louder than words,japo pia dont give uo too fast tetea penzi lako kama kweli unampenda be there for him,huwezi jua kaumizwa kiasi gani ndo mana anakuwa mzito kupenda tena...afterall ukikAa kuchachua chachua na kila mtu utakuwajeeee...?
 
Huo ujinga sifanyi,,,,,,
Abortion + mwanaume bahili= ujinga/ upumbavu
 
Huo ni ubwege, mtu mmekutana ukubwani ndo unampeeenda hadi unakua mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom