Mwanamke zinduka usipelekeshwe na mapenzi kiasi hicho

Mwanamke zinduka usipelekeshwe na mapenzi kiasi hicho

Mashosti nimewakataa sababu ya vilio vya kutendwa daily.There has to a come a time when a woman says NO to ---- from men
 
Mashosti nimewakataa sababu ya vilio vya kutendwa daily.There has to a come a time when a woman says NO to ---- from men

punguza jazba... bt kusimamia kwa dhati unachofeel ni bora zaidi kuliko kushindwa kujing'atua kutoka masimango hayo..
 
Mie nashangaa kwakweli hata kama kuchora huwezi hata kugandamizia washindwa? ivi kweli mtu unashindwa kujiuliza mtu mmetanuliana mipaja raha mpeata wote kama anakupenda kweli umebeba mimba then anakuambia utoee na wewe jinsi ulivyo naakili za kushikiwa unasema yes baby we have to abort dahh OOOOh lord have mercy kwa hawa watu wanamna hii maana inatia huruma
Binadamu hata umlambe makalio na ulimi atakuambia una muumiza tu.
 
Umekuwa nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka saba.Kakupa mimba kumi akakushawishi ukazi abort zote. Ukimgusia suala la kukuoa anaruka hatua kumi nyuma. Shida zako hakutatulii. Kila simu atakayokupigia ni ya kukuita uende kumpa papuchi. Hayuko free kuongozana nae mitaani. Ukishauriwa uachane nae unadai unampenda kuliko kitu chochote. Mambo mengine hata sisi wanaume haturidhi Ungekuwa dadaangu ningekuchinja..

UNA AKILI ZA KUKUSAIDIA WEWE MWENYEWE?


Hapa ndipo nilipo amini kua binadamu/wanawake tunatofautiana sana.
 
Aliyekutwa na hayo atakuwa na matatizo sio bure
unaona kabisa future haipo harafu unaendelea kung'ang'ania miaka yote hiyo
 
sijafanya ujinga huo kabisa , huko ni kupenda au wazimu?
 
bila shaka wewe ni under 25, ngoja kwanza jua likusogelee mama halafu wanaume wakose...!

yanawakuta wenzio mamii hasa waliokata tamaa ya kuwekwa inside.

Hapana kwa kweli ndo nitoe mimba kumi kisa limtu limoja lisilokuwa na maana yoyote wala ubinadamu?Hapana kwakweli hao wanaofanya hivyo nikujiendekeza tu na kukosa hofu ya Mungu
 
Wazimu huo wala siufanyi....acha nikonde lakin nisimuoneshe!!!
 
umekuwa nae kwenye mahusiani kwa zaidi ya miaka saba

answer..kwanii siku kwnza walikubalian mikataba ya miak mingapi ndo ndoa



kakupa mimba kumi akakushawishi ukazi abort zote..
answer...kwani alikuwa amemwambia abebe mimba,

ukimgusia suala la kukuoa anaruka hatua kumi nyuma...
answer.alimwambia atamuoa//??kila uhusiano hauishii kwenye ndoa

shida zako hakutatulii...
answer...khaaa kwa hiyo yeye ndo SIR GOD au ndo master plan wa shida zake kusolve

kila simu atakayokupigia ni ya kukuita uende kumpa papuchi..
anwer ana hamu at that time

hayuko free kuongozana nae mitaani..
answer...mpo maonyesho hadi muongozane au aliyekuangaya kuongozana ndo kupendana nani

ukishauriwa uachane nae unadai unampenda kuliko kitu chochote...
answer ...thanks nyie mnataka waachane wakati yye hajaona kama kuna tatizo kwenye penzi lao


mambo mengine hata sisi wanaume haturidhi..
answer.....loading error.........

ungekuwa dadaangu ningekuchinja..
answer...anataka umuoe or..mwache apaamane na waliwengu
UNA AKILI ZA KUKUSAIDIA WEWE MWENYEWE?
yaa kila mtu kazaliwa na akili yake na hyu zake zinamtosha kumzaidia mwenyewe mbaya zingekuwa hazimtoshi
 

yaa kila mtu kazaliwa na akili yake na hyu zake zinamtosha kumzaidia mwenyewe mbaya zingekuwa hazimtoshi

mkuu ICHANA una huruma na dada zetu kweli?
 
Last edited by a moderator:
Hapana kwa kweli ndo nitoe mimba kumi kisa limtu limoja lisilokuwa na maana yoyote wala ubinadamu?Hapana kwakweli hao wanaofanya hivyo nikujiendekeza tu na kukosa hofu ya Mungu

just imagine mkuu, unadhani huwa hawaogopi hofu ya mungu?
issue iko hivi.. anatoa ya kwanza anaogopa sana.. ya pili ataogopa tena ya tatu ataogopa kiasi ya nne inaanza kuwa kawaida ya tano hadi milioni ni kama kubanwa na mkojo.. UNAENDA KUKOJOA.. HAKUNA TENA HIYO HOFU YA MUNGU..
 
Back
Top Bottom