Mwanamke wangu kaota nimefariki

Mwanamke wangu kaota nimefariki

Acha presha mkuu, kwani unaamini akikuotea umekufa ndio itakuwa kweli?.
Ondoa shaka wewe ni maiti mrajiwa aote asiote, halikadhalika naye ni vilevile maiti mtarajiwa, hata mimi niandikaye haya pia ni maiti mtarajiwa.
Jitambulishe kwao fungeni ndoa ya kihalali uishi nae kwa amani.
Hebu jiulize kakuotea wewe je akikufia wewe chumbani kwako ilhali umesema kwao hawakujui itakuwaje? nafikiri ikitokea hali hii utatamani bora ufe wewe.
 
[emoji106] baaaas hili ndo la kwanza, hayo ya kufa yatakuja hakuna haraka ya kuyakimbia wala kuyahofia.
Mara nyengine nashangaa watu tunahofia kufa ilhali tushazaliwa! kwani tumeambiwa hapa ni pa milele?.
 
Kumbe
Dah nina mwanamke Wangu kanipgia simu eti kaota nimefariki wadau hapa nafikiria kumuacha amekua na mawazo ya ushirikina muda wote alafu anasema eti nimuoe kuna ndoa hapa????
Kumbe ndoto ni ushirikina!!!!
 
si kosa lake kuota...ila sasa hiyo ya kukuuliza kama unaumwa ndo doh!
 
Dah nina mwanamke Wangu kanipgia simu eti kaota nimefariki wadau hapa nafikiria kumuacha amekua na mawazo ya ushirikina muda wote alafu anasema eti nimuoe kuna ndoa hapa????[/QUOTE
anahamu sana ufe, halafu huyo mwanamke goup lake la damu huenda ikawa ni O.
 
Yah hii hata mimi nilishawahi kuisikia. Eti ukiota mtu amekufa anakuwa amepata kitu kinacho furahisha nafsi kama ulivosema mfano chakula kizuri, n.k.

Mimi binafsi niliwahi kuota baba yangu amekufa- nikalia kabisa hadi machozi huku nimelala, kushtuka kumbe naota! - nikapotezea na kuzani mdingi atakuwa alipata msosi wa chaguo lake huko alikokuwa. Hivo mtoa mada husipaniki - ndoto kama hizo zinatokea hasa kwa mtu unaye muwaza na kumpeda.
Dah hapa afadhari nimepata umenitia moyo mkuu nmeshinda hovyo sana
 
Ujinga huu iliwahi nitokea workmate wangu aliota nimekufa nikamwambia nini cha ajabu apo Sasa kufa si wote tutakufa mpaka Leo nadunda usijipe stress Na huo upuzi
Safi kiongozi nafarijika
 
Yah hii hata mimi nilishawahi kuisikia. Eti ukiota mtu amekufa anakuwa amepata kitu kinacho furahisha nafsi kama ulivosema mfano chakula kizuri, n.k.

Mimi binafsi niliwahi kuota baba yangu amekufa- nikalia kabisa hadi machozi huku nimelala, kushtuka kumbe naota! - nikapotezea na kuzani mdingi atakuwa alipata msosi wa chaguo lake huko alikokuwa. Hivo mtoa mada husipaniki - ndoto kama hizo zinatokea hasa kwa mtu unaye muwaza na kumpeda.

yeah wanasemaga ndoivo eti,, mimi nishamuota mdogo wangu kafariki kama mara mbili hivi namuota. Kuna siku nivoshtuka nilimpigia cm nikajifanya namjulia hali na kumuuliza upo vizuri Kabisa??! akaitikia ndio dada.



cc Smart911





cc Smart911
 
Ana mawazo ya kimachame huyo. Kaa mbali nae.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ndo yep hayo mkuu au kama ya wafipa
 
Back
Top Bottom