Mwanamke wangu kaota nimefariki

Mwanamke wangu kaota nimefariki

Sasa umuoe vipi wakati umesema ni mkeo
Wapi alipoandika ni mkewe? Hivi wabongo mbona mnakosa utulivu wakati wa kusoma? Haya paragraph moja tu imekushinda je ungeweza kusoma "vines and rees." Maarifa mengi yamefichwa kwenye maandishi hivyo kuwa makini unaposoma!
 
Wapi alipoandika ni mkewe? Hivi wabongo mbona mnakosa utulivu wakati wa kusoma? Haya paragraph moja tu imekushinda je unaweza kusoma "vines and rees." Maarifa mengi yamefichwa kwenye maandishi hivyo kuwa making unaposoma!
 
Wapi ulipoandika ni mkewe? Hivi wabongo mbina mnakosa utulivu wakati wa kusoma? Haya paragraph moja tu imekushinda je unaweza kusoma "vines and rees." Maarifa mengi yamefichwa kwenye maandishi hivyo kuwa making unaposoma!
Kuwa making unavosoma ndo nini
 
Kuwa making unavosoma ndo nini
Haya ni makosa ya kawaida hasa unapotype kwa kutumia simu hususani dictionary inapokuwa active, nachokiona kwako ni papara za kusoma haraka haraka au uwezo mdogo wa kuinternalize mambo!
 
Dah nina mwanamke Wangu kanipgia simu eti kaota nimefariki wadau hapa nafikiria kumuacha amekua na mawazo ya ushirikina muda wote alafu anasema eti nimuoe kuna ndoa hapa????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mara ingi ana mawazo ya ushirikina....leo anaota umekufa??hahahah
 
Haya ni makosa ya kawaida hasa unapotype kwa kutumia simu hususani dictionary inapokuwa active, nachokiona kwako ni papara za kusoma haraka haraka au uwezo mdogo wa kuinternalize mambo!
Mkuu punguza stress utatokwa roho bure afu jifunze kuandika kiswahili fasaha so ulimbukeni wa kuchanganya kiswahili na Engrish
 
In addition sijaandika popote neno "unavosoma" hii inaonyesha jinsi tatizo lako la papara wakati wa kusoma lilivyo sugu[emoji28] [emoji28]
Sina haja ya kukuelekeza tena, nenda kamalize darasa la saba kabka ya kuja tena hapa" Engrish" ndio kitu gani hiki???
 
Ujinga huu iliwahi nitokea workmate wangu aliota nimekufa nikamwambia nini cha ajabu apo Sasa kufa si wote tutakufa mpaka Leo nadunda usijipe stress Na huo upuzi
 
unakua Umeshiba mkuu usiwaze


cc Smart911
Yah hii hata mimi nilishawahi kuisikia. Eti ukiota mtu amekufa anakuwa amepata kitu kinacho furahisha nafsi kama ulivosema mfano chakula kizuri, n.k.

Mimi binafsi niliwahi kuota baba yangu amekufa- nikalia kabisa hadi machozi huku nimelala, kushtuka kumbe naota! - nikapotezea na kuzani mdingi atakuwa alipata msosi wa chaguo lake huko alikokuwa. Hivo mtoa mada husipaniki - ndoto kama hizo zinatokea hasa kwa mtu unaye muwaza na kumpeda.
 
Back
Top Bottom