Mwanamke wangu kaacha kutoa miguno ya kimahaba

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,883
Reaction score
60,915
Kipindi cha nyuma tulikuwa tuki sex anatoa sana miguno yaani show inamchanganya kiasi cha kwamba anaropoka maneno mengine ya ajabu.sasa mimi hiyo hali ikanifanya nijiamini zaidi kwamba namfikisha safari vizuri huyu mwenzangu.

Siku hizi tukifanya mambo anakaa tu kimya yaani silent kabisa mahusiano yetu nje ya kitandani ni kawaida tu hatujagombana tunaongea kama kawaida tena nikaamua kujiongeza asinishinde akili nikawa namuonyesha manjonjo na maufundi lakini bado tu

Halii yale makelele ya kuchanganyikiwa ila ushirikiano ananipa kama kawaida nikitaka gemu muda wowote ananipa tatizo liko kwenye miguno kwanini nikimuingilia haongei chochote hata kunitaja tu jina nimeanza kuwaza pengine simridhishi au wasiwasi wangu tu na sioni kama ni sahihi mimi kumuuliza hi ishu kwamba kwanini siku hizi hulii kama zamani?
 
Ebu niconect nae nimtest uwenda kuna tatizo kwenye engine ndio maana hatoi sauti mkuu.
 

We jamaa kweli hamnazo, ishu kama hii ya kitandani umeshindwa kuongea na mwenzio unakuja JF?? Kweli binadamu wanaisha sasa!

Ushauri: May be kiwambo cha kutoa sauti ya miguno wakati wa tendo kimekufa, jaribu kumkaba shingo wakati wa majamboz akitoa sauti tu ujue ni mzima anajifanyisha!
 
Amekuchoka
Sasa anaanzaje kunichoka akati pesa ninazompa nimeongeza namchapa na minoti Kama yote,zawadi kibao nambebea na tuna mipango kibao tunaindeleza
 
Mkuu hizi story mbona huwa hazikuishi? Kila mda unawaza ututungie story ipi
Kumbe unanifuatilia Sana mkuu ila ndo hivyo me na mambo mengi Sana ndo maana mistori pia Kama yote
 
Una mchepuko?
 
Sasa mkuu kweli swali Kama Hilo nitamuulizaje,me naona Soo kumuuliza ndo maana nikaja JF ili niambulie sababu maana humu watu Wana uelewa.swali langu la msingi Ni je kutotoa sauti Ni Hali ya kawaida au nianze ku doubt maybe Kuna sababu fulani fulani
 
Muulize, mazungumzo baina yako na mpenzio hasa yanayohusu hisia zenu ni muhimu, badala ya kuwa na wasiwasi ni vyema mkalizungumzia hilo swala pamoja.
 
Mkuu hapa unatuonea tu,yeye ndo anajua kwa nini siku hizi haguni,kwa hiyo muulize yeye
 
kakuigizia na kukuibia sasa filamu imeisha
yupo kwenye hali halisi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…