Mwanamke wa uswahilini

Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo

1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio maana wanaongoza kwa visherehe visivyo na tija
4. Hawawezi kukaa nyumba yenye geti na eneo lililotulia kwani wamezoea kushinda kwenye miji ya watu
5. Ukiwa na mahusiano ya mapenzi basi familia nzima itajua mama, bibi, shangazi nk

Ongezea mengine kama yapo
1) Mwanamke kujipamba.
2) Bajeti si ufanye wewe mtafutaji, laki nayo umeiona pesa ya maana siku hizi?
3) Unataka siri si uhame Uswahilini, nyumba yenyewe wapangaji kibao.
4)Khaa, kwani nyumba ya geti hamna majirazni?
5) Hayo siyo Uswahilini, hukohuko kwenu. Uswahilini hatuna "mahusiano" ama unaoa ama unasepa.

Bila "waswahili" ungejuwa Kiswahili wewe? tupishe huko.

Halafu mtu kama huyo anasema "mimi msomi".

Punguani wahed.
 
Umejibu kiswahili kabisa, laki nayo pesa wakati familia nzima hakuna aliyewahi kukaa na laki benki au kwenye sm yani akaitunza tu mwezi mmoja hakuna, kila pesa inapewa shughuli
 
Wanapenda kuvaa dera bila chupi.

Mafundi vitandani, ukienda kizembe lazima utangaziwe kuwa kimoko chali.

Maisha yao ya ngono sio siri. Kwao ni sifa kutangaza jinsi walivyofanywa na mabwana zao na ndio maana ni rahisi kutembea na marafiki hata 10 kutokana na jinsi wanavyohadithiana.

Hawana gharama kubwa za maintainance, kuanzia nywele mpaka kiatu inaweza isigharimu hata 50,000.

Wanapenda sana kuvaa sare. Ikitoka design mpya ya nguo sio ajabu ukakuta mtaa mzima kila mtu anayo. Na wanahakikisha inavaliwa mpaka iombe poo.

Hawana hiyana kwenye kugawa papuchi hivyo uzoee kugongewa.

Wanaamini mno katika shirki. Akiumwa kichwa lazima aende kwa babu kutazamia.

Wanapenda sana ugomvi, kitu kidogo tu wanachapana.

Wana asili ya uchafu, mtu kuamka na kuanza kuzurula mji mzima bila kuoga ni kawaida.

Wanapenda sana kuazimana vitu. Sio ajabu wakaazimana mpaka chupi.
Haaaa haaaa umeuwa balaa haya wenye wachumba uswahilini mmeona mambo haya
 
Mwamba umeua mwamba,unaweza jiuliza hivi huyumbona hana maisha binafsi??wnaapenda sana maisha yao (binafsi) yajulikane nakuamliwa na jumuiaya au majirani,mfano chakula ,mavazi,atembee nabwana flani au laaa??
 
1. Ni wazuri wa asili ukiona mbaya katika mkoani kajichanganya
2.Wanaishi maisha yasiyo ya maiagizo
3 . Wanajua kutunza Siri za ndani
4. Ni Wasafi wa mwili ukiona mchafu basi ni WA kienyeji sio wa uswazi
6. Wqnapenda kuvaa Madera na nguo zenye stahak
7.Wanaheshimu waume zao.
 
Back
Top Bottom