Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
Wanapenda kuvaa viatu vya manyoya



Na videra vya chui chui au doti doti..
Wanapenda kuvaa viatu vya manyoya



DuhUzaa panyaroad na vibaka
Kwetu si kwa Mtogole, so nawakilisha vema😂Ahahahha wewe Mbona unavyo
Eeh ndioooooo😂
Na videra vya chui chui au doti doti..
Mbona huyu anafanana na kile chuma cha mjerumani kausha damu ngangari pale Gamwachi?View attachment 2703494
Wananuka kwapa na mdomo balaa.
Naona hii imekuwa staili yao mpya!Wnavaa vitambaa kichwan kama 50 cent![]()


Mnataka wavae batik au mabazee
Na videra vya chui chui au doti doti..