Mwanamke wa shoka

Na akitoka kuwapeleka madogo shuleni anakwenda shamba au kwenye biashara zake (sokoni)
 
akitoka hapo usiku kama kawa mambo yetu yale,baada miez sita kitu kingine dah!
 
Mwanamke anaweza.
Hapa home nimegawana vyumba na kuku broilers
niameamua kufuga humu humu,
hivyo nina kuku kama mia tano humu humu ndani, nina uhakika wa kupata pesa yangu nzuri tu for a month.
so wanawake ni zaidi ya mnavyotufikiria.
 
Lakini baiskeli huendeshi***%#@!!!¿¿¿¿
 
OMG ni nani alinipiga picha? Atakuwa Boflo huyo si bure!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…