iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
1,180,000/= siyo pesa ya kuja kulalamika hapa, dogo. Zaidi, naona unataka tujue unajenga na umenunue bati la Msouth.kubwa sana na saizi nimenunua bati za msouth kwa ajili ya kuweka kwenye nyumba yangu
Mpe hiyo pesa ila dai risiti ionyeshe na VAT.
Ni MAHARI na sio "mahali'Jamani kuna vituko sana nina mwanamke ambaye ndio nataka kumuoa lakini anapanga mahali kuwa
1.hela ya uchumba nitoe tsh100000 na hela ya vinywaji tsh 80000
2.mahali ni tsh 1000000
Hivi jamani hii nayo imekaaje kwa waliooa ndio mwanamke unayemuoa anapanga mahali au wazazi ndio jukumu lao
kubwa sana na saizi nimenunua bati za msouth kwa ajili ya kuweka kwenye nyumba yangu
ndogo sana. Halaf inategemea na utamaduni, kuna baadhi ya makabila mwanamke anaruhusiwa kutaja mahari yake. . .especially hizi matrilinear societies za huku kusini, mwera, yao, makonde kama sijakosea.
1,180,000/= siyo pesa ya kuja kulalamika hapa, dogo. Zaidi, naona unataka tujue unajenga na umenunue bati la Msouth.By mwanakungumbala
kubwa sana na saizi nimenunua bati za msouth kwa ajili ya kuweka kwenye nyumba yangu
Jamani kuna vituko sana nina mwanamke ambaye ndio nataka kumuoa lakini anapanga mahali kuwa
1.hela ya uchumba nitoe tsh100000 na hela ya vinywaji tsh 80000
2.mahali ni tsh 1000000
Hivi jamani hii nayo imekaaje kwa waliooa ndio mwanamke unayemuoa anapanga mahali au wazazi ndio jukumu lao