iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,917
- 2,142
Jamani kuna vituko sana nina mwanamke ambaye ndio nataka kumuoa lakini anapanga mahali kuwa
1.hela ya uchumba nitoe tsh100000 na hela ya vinywaji tsh 80000
2.mahali ni tsh 1000000
Hivi jamani hii nayo imekaaje kwa waliooa ndio mwanamke unayemuoa anapanga mahali au wazazi ndio jukumu lao