Mwanamke wa kuoa utamjua tu

Mwanamke wa kuoa utamjua tu

Narudia tena, sikufanya kosa kujoin JF, maneno km "papuchi" na "mbunye" ningeyajulia wp mie
 
Basi msipende kugeneralize wanawake hawafanani
Ni sawa ila tunaangalia na percentages,ni kwamba majority ya wanawake ndio wapo hivyo. Hao unaowazungumzia wewe wapo ila ni 2 katika 100.
 
BABY NUMBER ONE.

Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.

Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama mwanaume na sio kubweteka na kupendwa, kwa sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.

Anachohitaji mwanamke ni wewe tu na muda wako. Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive' sana. Wanahitaji kupendwa na wanahitaji kuona akijaliwa.

Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.

Atakuwa kama mtoto mdogo anayehitaji kupendwa, kukumbatiwa, kubebwa na kutizamwa kwa umakini.

Mpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini? Ila unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.

Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha.

Na ukiona mwanamke wako hayupo angalau kidogo tu ya hayo niliyotaja hapo juu basi jikatae kwake mapemaaa, sio baadae nikiandika status kuhusu wanawake hapa unakuja kutoka povu ooh wanapenda pesa ooh wanapenda vitu vya gharama ooh sijui nini.

Hutakiwi kulalamika, wanawake wa aina hiyo unaowalalamikia ni wajasiriamwili na wewe sio level yao, ambao ni level yao hawaoni tabu kuhonga wanaweza kuhonga hata meli. Mariah Carey pete yake tu ya kidoleni aliyopewa na Mchumba wake bilionea wa Australia ni takribani Tsh Bilioni 15 za Kitanzania.

Kama umeona hapo sio level yako wewe jikatae mapema, huwezi pigana na ukuta mwisho wa siku utaumia wewe, mwache aendelee kuchimba bwawa kama ndio maisha aliyoyachagua.

Wanawake wenye upendo wa kweli wapo. Ukimpata jifanye kipofu kwa wengine wote, ila ona kwake tu! Kilicho kizuri kitunze kidumu
Geuza hii maandiko iwe audio unitumie..
 
Ndugu ni kama unamuona vile mwanamke wangu anavyonipenda na kunithamin
 
Kufahamu ladha ya papuchi, maana mbunye zingine ni 'over-utilized' mpk zishakuwa masalo. Unakuta mbunye imetepeta mishavu utadhani gruneti. mbunye ishakuwa ndaza! akha, test muhimu sana.
Sasa mbunye kama za madada poa. **** kila siku inatoa huduma unakuta imechanika imekuwa kama tambala la deki Maana awa watu wengi wameshapita. Ukiona uwezi Jua sugu kila kona unakuta kweusi kama rami na vipele vingi vya kunyoa mavuzi.
 
hahahaa hatari sana mkuu. Tena mbunye za hao 'wauza sukari' ndo zishakuwa kama unyayo wa Faru.
 
😀😀😀
Tatizo lipo kwa baadhi ya wadada ww muoaji unaambiwa mbunye mpaka siku ya ndoa kumbe nyuma ya pazia yupo aliyemtoa bikira ANAPEWA mbunye bila wasi wasi wowote, Siku ukifunga ndoa unakuta kinu kina sugu kama kwato za jogoo.
 
Mkuu huu uzi wako upo 100% na Haya maneno yako yako sawa kabisa. niliwahi kupata demu nikalila tunda lake, kuna siku nimekaa na washkaji akapita yule demu nikamsalimia. Kuna jamaa akasema yule mchumba wa msela wake na yupo bikira, Nilishangaa sana kusikia maneno yale wakati mimi nishakula kama mara 3. Nikamuuliza jamaa huyo mshkaji wako kamuangalia papuchi yake? akasema hapana ila demu ndio anavyosemaga. Siku nikamchukuwa tena yule demu ghetto nikamuuliza una mchumba wewe na umemdanganya kama upo bikra? akasema ndio. lakini aliniomba nimfichie siri yake, kosa nililolifanya hio siri nilikuwa nishaitowa.
 
Very chivalrous.

Kuna blazakaka alikuja kuomba ushauri hapa, kuna mwanamke anataka kumuoa, wako mikoa tofauti.

Eti mwanamke kamuomba am block kwa miezi kadhaa mpaka watakapokaribia kufunga ndoa.

Ngoja nimtag hapa aje asome.

Thread yake hii hapa

cc NGOSWE.120
 
Very chivalrous.

Kuna blazakaka alikuja kuomba ushauri hapa, kuna mwanamke anataka kumuoa, wako mikoa tofauti.

Eti mwanamke kamuomba am block kwa miezi kadhaa mpaka watakapokaribia kufunga ndoa.

Ngoja nimtag hapa aje asome.
Huyo jamaa mjinga sana hawajui wanawake, lazima kuna msela anakula kiulaini na akikaribia kufunga naye ndoa anaweka ndimu ili mbunye ishikane ukigusa tu utadhani ana bikira kumbe umeliwa. Mwambie ajifunze kuwasoma wanawake na tabia zao
 
Kwa hiyo ukikuta mbunye si bikira huoi mkuu?

Na wewe utakuwa bikira?

Na kama wewe pia bikira, utaijuaje mbunye isiyo bikira?
 
Kwa hiyo ukikuta mbunye si bikira huoi mkuu?

Na wewe utakuwa bikira?

Na kama wewe pia bikira, utaijuaje mbunye isiyo bikira?
Tatizo siyo bikira, tatizo unapoambiwa usubiri ndoa wakati kuna msela anamenya kiulaini tunda. Shida ipo hapo mkuu nimeona mabinti wengi wakiwaambia watarajiwa wao wa subiri ndoa wakati wao wanaendelea katumbuliwa na boy wa zamani mkuu
 
Poa.

Usingeitaja bikira basi. Utawavunja matumaini wengi humu.
 
Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.

That's being needy and desparate.

A dream girl is the one who is strong, solid, and healthy internally.

Ni yule ambaye mwanaume kwake ni bonus.
 
Siwezi kumpa lady yoyote muda wangu kwa sasa nime experience hio hali ya kupendwa sana wakati niko around 21 dah kwa sasa na huu ubize lady hata unipende utajikataa mwenyewe tu mana wasaa wa kubembeleza,Chating sina kabisa
 
Na mwanaume wa kukuoa haombi papuchi
Papuchi ni kitu kidogo sana kama panaupendo haswa zinatokea chenga chengq if men hujapendwa huna ela za kutosha ivo lady anaona akuchore tu
 
bce0c9c81d7b66e33dfad89648426ea3.jpg
 
Back
Top Bottom