Mwanamke wa kuoa utamjua tu

Mwanamke wa kuoa utamjua tu

Refer maelezo ya mtoa mada...ya kwamba mwanamke anayefaa kuolewa haombi hela. Na mwanaume ambaye anafaa kuoa hatakiwi kuomba papuchi..because no money no service mpaka tuoane

Duuh kumbe hii ndo maana yako? Kwamba mpaka awe anaacha kodi ya meza ndo anakuwa naye anapata huduma siyo.

Je wakati mnaisubiri hiyo inayoitwa ndoa (unasubiri kuitoa gari bandarini) kunakuwa na mtu anaendelea kuitia mafuta na kuiendesha huko???
 
Hapana kitu kinakuwa kinasafishwa kinatunzwa kinasubiri ndoa
 
Tena fanya haraka. Aibu na pozi tupa kule.

Ukizingatia ilo, Natangaza ndoa mapemaaa.

'shake b4 use' inahusu sana
Wew unazani shake well before?ndoa ina umuhimu gani? boss
 
Tatizo hamjiamini. mkipewa mnasema sisi kitonga mkinyimwa mnaona kuna wengine wanapewa.
#hamnapapuchihadindoa

kuja namna unaweza kufanya kdg, unasumbua kiana

siyo ndo unaombwa namba afu kesho yake unaomba elfu 50 unaambiwa uifuate geto unaenda ukifika inakuwa tena story, hapo kwel tutakuwa hatuna neno lingine la kutumia zaidi ya maji maraaaa..,

#ukiwaUnauzaKarangaLazmaUonjeshe
 
Simpi mtu ale papuchi yangu kabla ya ndoa,...asubiri tuu nimtunziee.
#akitakab4lazimaatoemapene
 
Back
Top Bottom