Mwanamke wa kuoa utamjua tu

Mwanamke wa kuoa utamjua tu

Kuna demu nlikua nampenda sana tu,hadi kufikia uamuzi wa kutaka kumuoa kabisa alichokuja Kunikera,akaanza kugongwa na ticha Fulani ivi,akaanza na kunizarau,akaniona boya,tumemaliza skuli ivi kapata taarifa niko chuo,ssa usumbufu mwingi na anaonyesha dalili zote za kwenye uzi hapo juu,eti jaman demu kama huyu nafaa kumuoa?
 
Nooooooop. Wait for yours.... Thanks..
 
Kuna demu nlikua nampenda sana tu,hadi kufikia uamuzi wa kutaka kumuoa kabisa alichokuja Kunikera,akaanza kugongwa na ticha Fulani ivi,akaanza na kunizarau,akaniona boya,tumemaliza skuli ivi kapata taarifa niko chuo,ssa usumbufu mwingi na anaonyesha dalili zote za kwenye uzi hapo juu,eti jaman demu kama huyu nafaa kumuoa?

hapo utaolea watu mkuu
 
Simpi mtu ale papuchi yangu kabla ya ndoa,...asubiri tuu nimtunziee.
#akitakab4lazimaatoemapene
Ndio maana mkishatoa mkaliwa ndio basi tena hamna maana..Kichwani anawaza"kwa nini nimemla kumbe yuko kawaida tu hana hata ladha yeyote tena papuchi inan***ka shit"
 
Weeee weeee wewe., usirudie kusema hicho.

Mwanaume ana mama yake, ana dada zake, ana wasichana marafiki maeneo anayoishi au kufanyia kazi, ana marafiki wa kushirikiana naye biashara, kumshauri mambo mengine mengi tu. Ila hajakamilika bila mke. Je huyo mke kazi yake ni nini? Wa nn? kwani ndoa ni nn?

Faida za kuwa na girlfriend, mchumba, mke jina lolote utakalomwita ni
1. Sexual fulfillment. ..
2. Sexual fulfillment. ..
3. Sexual fulfillment. ..
4...
.
.
.
N
Ndoa ni zaidi ya sex wewe,
 
Unastuka yeye mwenyewe ndo anakupa papuchi ivi jaman na papuchi nayo inakataliwa? Mimi niko hapo tu.
 
Ndoa ni zaidi ya sex wewe,
KORBOTO Kuna kuzaa kulea maisha ya kiimani,kijamii, nk nk
Tendo la ndoa linafanyika muda mfupi tu na sio kila siku,huo muda mwingine wooote ni mambo mengine ya kimaisha,Sijui kwnini huoni hili
 
Unachokiongea ni ukweli mtupu,nimejishuhudia mwenyewe.
 
Hawana formula hao ukimpata na kukaa nae mda mrefu Shukuru Mungu.
 
Ukisubiri papuchi hadi siku ya ndoa ujue mwenzio ana mtu anayempunguzia stress ndio maana ww kwa ubwege wako unaambiwa subiri ndoa
 
Back
Top Bottom