Sakala Sakala
Senior Member
- Sep 17, 2017
- 113
- 76
- Thread starter
- #21
Kama ambavyo kuna independent women wanaotaka tu kuzaa na kulea watoto wao.. the same applies to independent men
Nadhani ungesema unatafuta mke wa kuoa kabisa na si mwanamke wa kuzaa nae
Mh!....tumekuwa incubator now...
Bora umekuwa mkweli haya wanawake wenye mitizamo sawa nawe watakujaSipendi uwongo.. naheshimu hisia za kina mama ndo mana nimesema direct wa kuzaa naye na sio ndoa
Cheka tu mwaya....kukwepa tu majukumu ..mana kusema anaejiweza kiuchumi...mara atakaesaidiana nae malezi ya mtoto
Hapo wewe mama ndio usitegemee hata sent tano yake...halafu huyo mtoto ukae nae wewe mama....
Wakati huo huo ...wanaume hao hao mnawasema kila siku single mamaz....
Haya akishamzalisha nani amuoe?
Nenda vituo vya yatima kuna watoto awana babaNatumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke mwenye hitaji la kupata mtoto kama mimi pia.
Awe na sifa zifuatazo:
1. Umri miaka 25-34
2 Anajitegemea kiuchumi
3. Awe tayari kupima afya (HIV)
4. Awe tayari kulea mtoto kwa kushirikiana nami
Sifa zangu
1. Miaka 32
1. Ninajitegemea kimaisha
3. Nipo tayari kupima afya
4. Nipo tayari kulea mwanangu
Nawasilisha
Incubator zipo nyingi tu .....unaetaka awe single maza ni nani kwa mfano......yaani mtoto umzalishe wewe halafu kumuoa akamuoe nani kwa mfano???..........eti anayejitegemea kiuchumi sijui nini msiiiiiiiiiiiew
wataka wazidi kufungua uzi kuhusu singo mazaIncubator zipo nyingi tu .....unaetaka awe single maza ni nani kwa mfano......yaani mtoto umzalishe wewe halafu kumuoa akamuoe nani kwa mfano???..........eti anayejitegemea kiuchumi sijui nini msiiiiiiiiiiiew
Kinachonifurahisha Kwa wanawake ukiwaambia ukweli wanakuwa wakali.
Lakini wengi wao wamewekwa nyumba ndogo huko mitaani na wanazalishwa vile vile
Bad enough hata Yule aliyezaa na mume wa mtu anategemea kuwa na mume wake peke yake.
Huwa wanafurahisha sana
Kuna Uzi mdada anatafuta wa kuzaa nae humu ungemfwata mjadili.Asilimia kubwa wanataka tuwarubuni halafu baadae kulia lia wameumizwa
Kuna Uzi mdada anatafuta wa kuzaa nae humu ungemfwata mjadili.Asilimia kubwa wanataka tuwarubuni halafu baadae kulia lia wameumizwa
Basi nimekosa fursa kwakua sijitegemei kiuchumi
Kuna Uzi mdada anatafuta wa kuzaa nae humu ungemfwata mjadili.
Jaribu labda bahati itakuwa yako.Duh huyo vidume kama 200 hivi watakuwa wamejaa pm yake
Jaribu labda bahati itakuwa yako.