Mwanamke wa kunitunuku mtoto

Kama ambavyo kuna independent women wanaotaka tu kuzaa na kulea watoto wao.. the same applies to independent men
 
Cheka tu mwaya....kukwepa tu majukumu ..mana kusema anaejiweza kiuchumi...mara atakaesaidiana nae malezi ya mtoto

Hapo wewe mama ndio usitegemee hata sent tano yake...halafu huyo mtoto ukae nae wewe mama....

Wakati huo huo ...wanaume hao hao mnawasema kila siku single mamaz....

Haya akishamzalisha nani amuoe?

Kuna watu wameshaamua kupambana tu na hali zao. Hawawazi tena ishu ya kuolewa.. bali kupata tu mtoto.
 
Natumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke mwenye hitaji la kupata mtoto kama mimi pia.
Awe na sifa zifuatazo:

1. Umri miaka 25-34
2 Anajitegemea kiuchumi
3. Awe tayari kupima afya (HIV)
4. Awe tayari kulea mtoto kwa kushirikiana nami

Sifa zangu

1. Miaka 32
1. Ninajitegemea kimaisha
3. Nipo tayari kupima afya
4. Nipo tayari kulea mwanangu

Nawasilisha
Nenda vituo vya yatima kuna watoto awana baba
 
Incubator zipo nyingi tu .....unaetaka awe single maza ni nani kwa mfano......yaani mtoto umzalishe wewe halafu kumuoa akamuoe nani kwa mfano???..........eti anayejitegemea kiuchumi sijui nini msiiiiiiiiiiiew
wataka wazidi kufungua uzi kuhusu singo maza
 
Kinachonifurahisha Kwa wanawake ukiwaambia ukweli wanakuwa wakali.
Lakini wengi wao wamewekwa nyumba ndogo huko mitaani na wanazalishwa vile vile
Bad enough hata Yule aliyezaa na mume wa mtu anategemea kuwa na mume wake peke yake.
Huwa wanafurahisha sana
 
Kinachonifurahisha Kwa wanawake ukiwaambia ukweli wanakuwa wakali.
Lakini wengi wao wamewekwa nyumba ndogo huko mitaani na wanazalishwa vile vile
Bad enough hata Yule aliyezaa na mume wa mtu anategemea kuwa na mume wake peke yake.
Huwa wanafurahisha sana

Asilimia kubwa wanataka tuwarubuni halafu baadae kulia lia wameumizwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom