Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,839
Ujuzi ni kujifunza sio kabila!
Ni kweli kabisa mkuu!Kivazi cha.kanga kimempendeza kweli...
Ndiyo maana wamefanya maajabu makubwa sana hapa duniani!Nzuri, wenzetu wanapenda kujifunza kila kitu kizuri kwao.
Precisely mkuu!Kapendeza sana
Fafanua kidogo mkuu,bado sijakusoma!Ujuzi ni kujifunza sio kabila!
Hakika tupo juu!Utamaduni oye
Ahsante, wenzetu huchukua mazuri yetu na mabaya (( Umbea,Udaku,Ufedhuli,nk wetu )) hutuachia hapahapa!! Nasi huchukuaga Mabaya yao !! Nakuacha mazuri yao !! Jamani tujibadili hulka zetu...Nzuri, wenzetu wanapenda kujifunza kila kitu kizuri kwao.
mkuu mbona oye umeitamka kivivu...tehe teheUtamaduni oye