Ili kujibu mapigo na sisi tumejifunza utamaduni huu toka kwa wadhungu weusi..
View attachment 128942
View attachment 128943
View attachment 128944
Binaadamu hazaliwi akiwa na ujuzi fulani eti anatoka Afrika au ulaya bali anapata ujuzi kutokana na kujifunza hivyo mazingira anayokulia nayo yatakuwa utamaduni wake!Fafanua kidogo mkuu,bado sijakusoma!