Kwa msaada wa kumpata huyu bwana nitakudanganya. Ila nakushauri uanzishe thread mpya yenye kichwa cha habari "Namtafuta Bw. Mwigulu Nchemba,ili anisaidie ushauri jinsi ya kupata MKE wa Kirangi". Kila la kheri mkuu.
sikiliza kuna mmama mmoja mke wa vehicle mwanza ni kabila hilo
mme wako anamshiko wa maana tu na tena anaonekana hata mzigo .mb.o.o anao mkubwa tu(maana hamkawii kusema labda mr kibamia) kwa sisi wataalamu kwa kumwangalia appearance tunaelewa ni size gani
huyo mke wake kiwembe balaa anavizia vehicle kasafiri au yupo kazini yeye anaingiza serengeti boy na kusema pale ni kwa wazazi wake
zile picha za sebuleni alizopiga na mumewe watoto wake anazitoa na kuzificha tena anamuingiza chumba cha watoto kwa bahati wanauwezo chumba cha watoto nacho kinachoo ndani pia kwa kutoa ofa ya chips kwa salma cone hajambo
pia huyu mrs vehicle anaongoza kwa kwenda kwa mawitchdoctor maana waganga wa mwanza wote kawamaliza
mwingine kuna mpangaji wetu mmoja pale mwananyamala mke wake mrangi naye ni balaa(inasemekama kamlimbwata mumewe)yeye mume akisafiri na yeye kiguru na njia anamaliza gest tu na kama anampenda anamleta kwake kushinda nae mbaya zaidi huyu wavulana wa kijiweni kawamaliza wote+marafiki wa mume wake
kuna siku mumewe alimfumania na mjamaa ndani mwanaume hata kusema hakuongea (labda waliyamaliza kimyakimya ndani mwao)
kuna mwingine nimepanga naye hapa ninapoishi yeye mume wake dereva bodaboda yeye ukimsifia tu aaa mzigo wakwako unamgeuza utakavyo
we kama ni me oa wa kirangi au kama ni me subiri kaka yako aoe hilo kabila kama hujaja hapa kulishtaki hilo kabila
umeona eh....ila wengine tunavunjiwa ndoa...Hii ndiyo jamii forums bwana! Swali moja, majibu 100!
kataja kabisa mpaka mhusika...nahisi lazima pachimbike bila jembe hukommh, hata kama ni kweli; haya maneno yanastahili kuletwa hapa JF? Watch your tongue dada @amu!
Mkuu mimi huko urangini nimeshakaa kama miaka 3 hivi,nilichogundua kuhusu wanawake hao ni kuwa watulivu sana kwa muonekano anapokuwa na mtu,tatizo anapogundua kuwa kuna mtu anamtaka kimapenzi huwa ni wagumu sana kusema neno haiwezekani,flirting mitaa ile muheshimiwa ni nje-nje,ninacho wasifu ni wa siri sana,anapokuwa na afair ya nje ya mahusiano hamwambii hata rafikiye wa karibu,kwahiyo leakage huwa ni almost impossible labda siku iwe imefika litokee fumanizi.
labda sisi tumezidi ndio maana tunasemwa!si wanawake wa makabila yote wapo hivo jamani. Na hata wanaume wa makabila yote wapo hivo pia.
Ni kulinda heshma na kuto mumiza mwenziwake.
hilo la kumwambia rafiki na kuvua vua chupi ni tabia ya watu mapepe, na kila kabila watu kama hawa wapo
Hii thread nahisi kama inakaribia kunivunjia ndoa maana na mme wangu naye yumo humu JF....kila siku naona anabadili tabia tofauti na zamani...sikui kapitia hii thread? warangi tuna kibarua kweli...
Kama wewe sio Mrangi achana naye kabisa, utakufa siku si zako!!
kwanza kabisa wana mvuto,wasafi,wamefundwa wakafundika.na sifa kibao njema,kama umemchunguza na ukaona ana tabia njema na anakufaa chukua chombo!Ndugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu
warangi tupo juu ye soya ucjali kama kabadilika ana lingine na sio thread coz kabila halihusiani na tabia ya mtu bwana!ucjal dada we kua mwaminifu na mtiifu hayo mengne yasikukatishe tamaa n tabia, hulka na silka za mtu mwenyew hta km na warang nao n mojawapo lakn na makabila mengne nayo yamo.
mfariji mwenzio anaachika vile kama mchezo tu! labda na yeye hajatulia huko ndani kwake...sasa ukiongezea na hii thread lazima jamaa aone kama kuna ukweli fulani vile...kama vipi jirekebisheni tu azawaizi itakuwa ndivyosivyo passion lady!warangi tupo juu ye soya ucjali kama kabadilika ana lingine na sio thread coz kabila halihusiani na tabia ya mtu bwana!
mfariji mwenzio anaachika vile kama mchezo tu! labda na yeye hajatulia huko ndani kwake...sasa ukiongezea na hii thread lazima jamaa aone kama kuna ukweli fulani vile...kama vipi jirekebisheni tu azawaizi itakuwa ndivyosivyo passion lady!warangi tupo juu ye soya ucjali kama kabadilika ana lingine na sio thread coz kabila halihusiani na tabia ya mtu bwana!
sasa hapo umejifunza nini Setuba Noel? kuwaoa au kuwakimbia hao viumbe?Asanteni sana kwa elimu mliyonipa hapa. Ambao hawajaoa wamejifunza.
mfariji mwenzio anaachika vile kama mchezo tu! labda na yeye hajatulia huko ndani kwake...sasa ukiongezea na hii thread lazima jamaa aone kama kuna ukweli fulani vile...kama vipi jirekebisheni tu azawaizi itakuwa ndivyosivyo passion lady!
wewe kijana! Taratibu na maneno yako yasiyo na vipimo!
Hii kauli yako sijaipenda hata kidogo!
Iombe radhi kabla ulilotaja.
kuna mzee mmoja wa kirangi aliwai kuniambia kuwa ukipata mrangi mwenye tabia nzuri utatamani ndugu zako waoe au waolewe na mrangi ila ukipata kimeo utajuta na utotamani kuoa mrangi wa wala kusikia hiloa kabila
una maneno makali......ni wote au ni baadhi tu wenye tabia hizo?wala usitoke povu, most of them wako hivyo hawajui kusema hapana, na akiolewa kwenye ukoo wenu basi atahakikisha kawagaia wote, ndiyo maana wanaitwa mke wetu, si mke wangu,. Mimi nahisi huwa wanawadudu huko chini wanatekenya kila saa ndiyo maana wanapenda sana dushelele.
una maneno makali......ni wote au ni baadhi tu wenye tabia hizo? ina maana ukiwa naye tu jiandae kuchangia na ndugu...wanafanya kwa siri au mpaka kila mtu atajua?wala usitoke povu, most of them wako hivyo hawajui kusema hapana, na akiolewa kwenye ukoo wenu basi atahakikisha kawagaia wote, ndiyo maana wanaitwa mke wetu, si mke wangu,. Mimi nahisi huwa wanawadudu huko chini wanatekenya kila saa ndiyo maana wanapenda sana dushelele.