Mwanamke wa kibali

Mwanamke wa kibali

"..Ni vigumu mno kumtii asiyekupenda"

Giiirl!!...Saantee!

[emoji122] [emoji122] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji108] [emoji108]

Hata linapokuja suala la heshima, mara nyingi msisitizo huwa kwetu kuwa tuwape heshima au tuwe na heshima na wanasahau kuwa ni vigumu kumpa heshima mtu ambae hana heshima to begin with..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu tunaviweka kispiritual zaidi tunasahau uhalisia, we are human beings FCS!!
Yaani you will be pretending to be happy with yo own husband while yo not seriously!!!!
Hebu tutafute mzizi wa mke kutokumtii mumewe kabla hatujaanza kudeal na matokeo ya tatizo badala ya chanzo cha tatizo. Hivi kweli kabisa kuna mwanamke deep down anaamua tu eti asimtii mume alomchagua mwenyewe na kuamua kuishi nae for the rest of her life!!!!!
 
Yap!, hapo ndo penye matatizo yote. Ku deal na matokeo na kuacha chanzo.
Nafikiri tatizo lolote lile linapotekea katika mahusiano ni vizuri kurudi nyuma na kungalia mahala ambapo panaweza kuwa chanzo.
Kama ulivyogusa kuwa mtu hawezi tu kuibuka from nowhere na kuwa na attitude.
Ni vizuri kutafuta chanzo, tena pande zote mbili.
 
Utakuwa unaongelea theory mkuu, tena fuatilia utagundua wanaume wenye wanawake wanyenyekevu ndio wajeuri kweli kweli.
Siwezi sema Yes or No maana watu tunatofautiana. Ila generally likes attract likes.
 
Siwezi sema Yes or No maana watu tunatofautiana. Ila generally likes attract likes.
Binadamu tuna kawaida ya kuignore kile tulichonacho na kuhangaika na tusichokuwa nacho.
 
Labda tuanze na wewe Espy. Je,wewe ni mnyenyekevu?
 
Labda tuanze na wewe Espy. Je,wewe ni mnyenyekevu?
 
Back
Top Bottom