Kuna vitu ni rahisi kuviongea ila kiuhalisia ni ngumu sana kuviapply!! Mfano kumheshimu mtu bila sababu, Biblia iko wazi, agizo limeanza kwa mwanaume ampende mkewe.......
Kumpenda mkewe ndio msingi mkuu, nae mke atamtii mumewe. Ni ngumu mnoo kumtii mtu "asiyekupenda". Mungu alitupenda sisi kwanza hivyo hatuna budi kumtii.
Wanaume mmeshikilia msingi mzima wa mahusiano na ndoa, ni vile mmeshindwa tu kuitambua nafasi yenu katika hili mmeshupaza shingo tu.
Heaven Sent
Nalendwa
Neybright
demi
MBITIYAZA mkuje tupate darasa.