BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Namba 5Sijaona hata sehem moja inayohusu wanawake kuomba pesa. Sijui wanatumia andiko gani kufanya hili...
Barikiwa Valentine
Kuweka nyumba ktk utaratibu ina maanisha na kucontrol.mapesa yote ya nyumba (familoa)
[emoji647][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji126][emoji126][emoji126]