sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,158
- 48,359
Si unajua tena akili za weekend.Hahahaaaaa. Aiseee umewaza mbali sana jirani
Jirani yangu
Si unajua tena akili za weekend.Hahahaaaaa. Aiseee umewaza mbali sana jirani
Utaniua jamani kwa sababu siyo kwa chura hilo!......please close to me like never before and i will lean on you like no body is business!
[emoji23][emoji23] [emoji23]
Ni kwamba utaratibu huo ni wa kudumu, hakuna ugumu utajitokeza, mkiahapendwa ndio zile tabia za kibazazi mnazozipenda huzifungulia na kuharibu kila kitu!asante kwa somo mama..be blessed.
ila wanaume wa kitz..baadhi utawafanyia hayo yote na hatoyaona...ndoa itaendelea kuwa chungu..
kikubwa uvumilivu tu!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Asaannntteeee[emoji108][emoji108]Utaniua jamani kwa sababu siyo kwa chura hilo!......please close to me like never before and i will lean on you like no body is business!
Sijaona hata sehem moja inayohusu wanawake kuomba pesa. Sijui wanatumia andiko gani kufanya hili...
Barikiwa Valentine
umetumia akili kusema wakezeni sio...........isaka alivyomwoana Rebeca tu alimpa zawadi ya vikuku vya dhahabu Mke ana mahitaji yake Binafsi anahitaji kupendeza, na kununua vitu ambavyo wewe huwezi kukumbuka so muwe na desturi ya kuwapa wake zenu pesa msisubiri kuombwa achene uchoyo
Mbona umefunga pm yako jamani?Sasa nitakutongozaje kama unafunga pm yako my dear?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Asaannntteeee[emoji108][emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wanaodemand kupewa pesa kabla hawajaolewa wanakosea sio..isaka alivyomwoana Rebeca tu alimpa zawadi ya vikuku vya dhahabu Mke ana mahitaji yake Binafsi anahitaji kupendeza, na kununua vitu ambavyo wewe huwezi kukumbuka so muwe na desturi ya kuwapa wake zenu pesa msisubiri kuombwa achene uchoyo
Ni halali kumpa pesa MTU ambae hujamuoa?isaka alivyomwoana Rebeca tu alimpa zawadi ya vikuku vya dhahabu Mke ana mahitaji yake Binafsi anahitaji kupendeza, na kununua vitu ambavyo wewe huwezi kukumbuka so muwe na desturi ya kuwapa wake zenu pesa msisubiri kuombwa achene uchoyo
Hahahaaaa. Haya bana.Si unajua tena akili za weekend.
Jirani yangu
Inahitaji roho mtakatifu kwa wingi otherwise mwanaume akiwa hajui kuappreciate unachofanya ni taabu na wewe unachokaUjumbe mzuri, lakini kuuweka kwenye matendo ndio kazi, tena sio kazi ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umefunga pm yako jamani?Sasa nitakutongozaje kama unafunga pm yako my dear?
Nikikutongozea hapahapa wenye wivu watajinyonga my dear![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]funguo za kufuli imepotea labda njia rahisi unitongozee huku huku hamna jinsi
Sent using Jamii Forums mobile app