Mwanamke Wa jf ananisumbua!

Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!

Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!

Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!

Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!

DJ sepetu
Wewe umejuaje kama ni beautiful embu acha kutupiga marungu
 
Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!

Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!

Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!

Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!

DJ sepetu
Shigongo utawajua tu, umejuaje ni beautiful kama haujaonana nae??
 
Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!

Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!

Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!

Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!

DJ sepetu

KUMBUKA FORM FOUR WENZIO WAKO PREP MUDA HUU,
HALAFU UKIPATA ZIRO NECTA UJE KULIALIA HAPA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom