Shalom shalom
Nna mahusiano na binti huyu karibu mwaka wa 4 huu, sifa za huyu binti;
1. Simpi hela, mara moja moja sana tena ni vihela vidogo mno.
2. Yeye ndio anakuja kwangu mara zote mimi siendi kwao.
3. Ananiheshimu sana na ananiogopa akiona kaniudhi.
4. Muda wowote naotaka aje kwangu anakuja.
5. Sijawai mnunilia zawadi yoyote, ila yeye karibu nusu ya nguo zangu ameninunulia yeye, hadi viatu.
6. Sometime anakuja na vifurushi vya misosi hapa kwangu anapika tunakula.
7. Na enjoy sana sex na yeye sababu anaushirikiano wa hali ya juu, maji kama yote, hadi naniliu zangu anameza(mtu asiekupenda sana hawezi fanya hivi).
8. Ninaishi mbali na kwao, lakini yeye anakuja kwangu muda ninao mhitaji.
9. Mimi ndiyo hu-attempt kumuacha mara nyingi, hata week nzima ila yeye hajawahi. Huwa analia sana napotaka mwacha.
10. Anawish kuzaa na mimI kila kukicha.
Mimi ndio nina control haya mahusiano na nina muhenyesha sana, yeye yupo tu namimi. Nime comfirm kuwa huyu mwanamke ananipenda kweli.
Wakuu kama mlikua mnataka tafsiri sahihi ya mwanamke anaependa basi ndiyo hii, msiumbuke sana Mwanamke akiwa hivi 200% ujue anakupenda sana.
Huwa nawaza ni hack simu yake nitafute sababu za kugombana nae, ila roho inasita kwa ambavyo ananifanyia naona kama sitamtendea haki. Au mnasemaje, ni hack simu yake wakuu ili nigundue nini?
Vangosha.