- Thread starter
- #21
Ni mdada mzur sana kakaDondosha picha yake hapa kwanza tumuone isije akawa anakuganda kumbe kashajiona soko lake gumu la kuolewa yaani kwa kifupi mbovu
Ni mdada mzur sana kakaDondosha picha yake hapa kwanza tumuone isije akawa anakuganda kumbe kashajiona soko lake gumu la kuolewa yaani kwa kifupi mbovu
Ananitega kwa miaka karibia mi4Love is illusion, kila anayekuambia anakupenda basi anakudanganya. Huyo mdada kuna mtego amekutegea anasubiri uingie 18. Si unaona ushaanza kujaa
Kwa miaka mi4 ananitega tuu had leoHuyo anakuandaa kisaikolojia I'll baadae aje akupige tukio Moja hatari Sana ambalo halitakuacha salama.
When the deal is too good,think twice.
Ipo siku atakutumia message ya hivi "Kuanzia Leo Mimi na wewe Basi,nenda kapime Ukimwi na uanze kumeza dawa za ARV's Mara Moja"
![]()
Ushaur ni huo kwamba ni hack sim yake nijionee yaliyomo yamo au nitulie tuSasa tushaur nn Hapa?
Au Lengo tutoe USHAUR mbaya tuonekana wabaya
Nakazia hapo...Huwajui wanawake vizuri kijana ingia kwenye mtego umpende hakuna rangi hutaacha kuona # vijana tusiowe
Why.??Maskini Binti wa watu....hajui anajitaabisha TU.Daa😔
Usitumie fimbo kukupenda kwakeShalom shalom
Nna mahusiano na binti huyu karibu mwaka wa 4 huu, sifa za huyu binti;
1. Simpi hela, mara moja moja sana tena ni vihela vidogo mno.
2. Yeye ndio anakuja kwangu mara zote mimi siendi kwao.
3. Ananiheshimu sana na ananiogopa akiona kaniudhi.
4. Muda wowote naotaka aje kwangu anakuja.
5. Sijawai mnunilia zawadi yoyote, ila yeye karibu nusu ya nguo zangu ameninunulia yeye, hadi viatu.
6. Sometime anakuja na vifurushi vya misosi hapa kwangu anapika tunakula.
7. Na enjoy sana sex na yeye sababu anaushirikiano wa hali ya juu, maji kama yote, hadi naniliu zangu anameza(mtu asiekupenda sana hawezi fanya hivi).
8. Ninaishi mbali na kwao, lakini yeye anakuja kwangu muda ninao mhitaji.
9. Mimi ndiyo hu-attempt kumuacha mara nyingi, hata week nzima ila yeye hajawahi. Huwa analia sana napotaka mwacha.
10. Anawish kuzaa na mimI kila kukicha.
Mimi ndio nina control haya mahusiano na nina muhenyesha sana, yeye yupo tu namimi. Nime comfirm kuwa huyu mwanamke ananipenda kweli.
Wakuu kama mlikua mnataka tafsiri sahihi ya mwanamke anaependa basi ndiyo hii, msiumbuke sana Mwanamke akiwa hivi 200% ujue anakupenda sana.
Huwa nawaza ni hack simu yake nitafute sababu za kugombana nae, ila roho inasita kwa ambavyo ananifanyia naona kama sitamtendea haki. Au mnasemaje, ni hack simu yake wakuu ili nigundue nini?
Vangosha.
Si umeona mwanaume ni kama Hana interest nae kabisa anamchora tuWhy.??
KabisaSi umeona mwanaume ni kama Hana interest nae kabisa anamchora tu
Mkuu huyu demu simuachi.. hujanielewa labda.. nmeandika the reasons why sitomuacha huyu demu na hata nikija muacha bas ntamfanyia mambo makubwa mnoHuyo dada ana imani kuwa mtakuja kuoana hapo baadae na nadhani pia kajitoa kukuvumilia kwa yote ikiwemo pia mapungufu yako kumbe kwako sivyo,,,,Mungu amsaidie binti wa watu ajitambue mapema kuwa hayuko na mtu sahihi kabla hujamfanya akaitwa single mama na jamii kumhukumu kwa hilo.
Halafu na wewe pia upate wa kufanana nae aje kuwa anakucontrol,umhudumie kwa kila kitu halafu atafute sababu ya kukuacha ili uje na uzi tena hapa wa kuwa "wanawake hawaridhiki hata uwafanyie nini ndugu zangu tusioe"
ajabu hatujazoeaTatizo la wanaumr wakiafrica mkipendwa sana mtatangaza kuanzia kwa rafiki,ndugu,adi uku
🤣🤣🤣🙌So badKabisa
Lakini pia Jamaa anampenda Demu,,,ila anaonekana anapenda sana Validation.... Ni wale watu ambao huona thamani ya kitu hadi pale wakiwa wamekipoteza...
But ni hulka yetu Binadamu,, Ukipendwa lazima uringe ringe kidogo..ulete pozi,,,
Hajui watoto wa kike huyo mimi kuna demu nlikuwa nae miaka 8 kila mtu alimjua lkn nilikuja kupigwa tukio iloo sitakuja kuamini mwanamke tena...ilichukuwa miaka mi 4 kujakupoa still nikikumbuka naumia mpk leo but maisha yaendelea siku hizi mguu mmoja ndani mwingne njeeHuyo mwanamke atakuacha huo muacho mmoja hutokaa uamini...na itakutesa kwa maisha yako yote...ishawah nitokea hadi kuna muda nataman muda urud nyuma nirekebishe nlipokosea ila its too late