Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,255
- 2,978
K
Hawa viumbe wa Mungu haitakiw uzame sanaa...na pia matarajio yasiwe ya juu sanaa...ni kucheza tu nafac yako...akiamua kwenda unachukua mwngne mnaendelea kula rahaHajui watoto wa kike huyo mimi kuna demu nlikuwa nae miaka 8 kila mtu alimjua lkn nilikuja kupigwa tukio iloo sitakuja kuamini mwanamke tena...ilichukuwa miaka mi 4 kujakupoa still nikikumbuka naumia mpk leo but maisha yaendelea siku hizi mguu mmoja ndani mwingne njee