Kama hakuna tafiti huna haki ya kusema, ni wapi imeandikwa kila kiungo cha mwanamke kina gharama? ina maana wanaume hawana viungo! wana nini basi chao? toa ushahidi wa kauli yako!
Duh! Kumbe atoto ni binti? Weka namba yako nikutumie helaMie nashindwa hata kuwashangaa kwakweli!! Huu ubahiri gani sasa na kukalamika tuuuu kama gari bovu, mwanamke gharama jamani hebu toeni tu msisubiri hadi tuwaombe, khaaaaaah!!
Duh! Kumbe atoto ni binti? Weka namba yako nikutumie hela
Salam wadau!
Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi.
Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??
Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.

Mpe ukimnyima atasema bahili hautafaa kua mumeSalam wadau!
Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi.
Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??
Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.
πππππππππππHizi kesi zimekuwa nyingi sana. Kuna wenzio kibao humu utawaona tu. Undeni umoja wenu wa wapigwa mizinga/vibomu halafu mjue mtasonga vipi kwa pamoja.