Endelea kujisaidia porini km mifugo yakoWanaume dar vipi kuna kundi limeibuka linaitwa 10 ndani 10 nje vitoto tu lakini vinafunga mitaa nyie mmekalia kumjadili wema na zari nina mpango wa kuuza kondoo na mifugo yangu yote nije niwahamishe wanaume wote wa dar niwahamishie zanzibar mkale urojo sawa?
Km vipi muache kushukia pale UbungoSisi hatutegemei wanaume wa dar kuwauzia mazao yetu tunauza uganda na malawi halafu mbona viongozi karibia wote tumewaazima kutoka mikoani?
Hamna lolote mnatambia kilimo halafu mnakufa maskini na kuzikwa kifukara km mifugo yenuJianadaeni kuniachia huo mkoa mnakalia kucheza bao tu ngoja wanaume wa kazi tuje tupaweke sawa wote tunawahamishia mkuranga wanaume gani watoto wadogo tu panyaroad wanawazidi nguvu mkija mikoani si mtafukuzwa hata na paka
Kumbe vibanda vya udongo na nyasi huko kwenu mnaita NyumbaHahahaha eti mna dili gani kutapeli watu ndio maana kila mwaka lazima mafuriko yawasombe mnakalia kula urojo halafu mnajenga nyumba legelege kama urojo mnaishi mtoni mmekuwa viboko
Nyie waporipori mnakera sana mnafanana na mifugo yenu
*wakorofi
*wachafu
*hamna akili
*mnakaa porini
*mnakunyakunya ovyo tu porini
*mnalala pamoja na mifugo yenu
*mnaridhika na na pesa ya kula tu km mifugo yenu
*mnamiliki vibaiskeli km wauza mikaa
*mnazaliana ovyoovyo km paka
*MNA mambo ya kizamani km bushman
*mnalala gizani km bundi
Km shida yako kujua jinsia zetu njoo tu Joto City kilegelegeDar kuna nyumba gani vibanda vimepangana kama milima ya huku mikoani halafu mafuriko yakija mnaanza kuililia serikali iwasaidie cha kujiuliza nyie ni wanaume au wanawake
Matege yenu yametokana na ukosefu wa lishe siyo ukakamavu hata vifua vyenu km ubao wa kamariLabda mkusanyikane wala urojo 200 ndio naweza kupambana lakini wewe tu nakutunza kwenye koti langu lile la kwendea shambani tukifika mwanza nakupa kazi ya kuchunga vifaranga vya kuku kwa sababu najua kuchunga ndama tu huwezi mwaume legelege utakazwa ohhhooo
Wafugaji hamuishiwi vitukoSasa dar kuna mwanaume gani mwenye kifua kazi kufuga matumbo yasiokuwa na formula tumbo kama chura yaani nyie kazi yenu kusoma yale magazeti pendwa na kucheza bao na kushinda vibarazani halafu tukija huko mnatupiga mizinga eti tuwaletee sato dagaa wa mwanza hamna lolote kujiongoza mmeshindwa tukaona siyo mbaya tukiwaazima wanaume wa mikoani