Mwanamke wa Dar

Leo umemuotea nani wa kukupa ofa?
Acha wivu mzee usiwe km Rais wetu anayetamani kila mtu aishi km shetani
Hii ni week end halafu huku ni town hstunywi mataputapu
 
Acha wivu mzee usiwe km Rais wetu anayetamani kila mtu aishi km shetani
Hii ni week end halafu huku ni town hstunywi mataputapu
Mwambie huyo anatayetamani tuishi kama mashetani hatofanikiwa atamaliza muda wake atatuacha tunadunda kama kawaida kama haamini amuulize mwenzie Bwm
 
Hivi huko Usukumsni kuna hotel kweli su mikwara tu maana pale Chato kuna traffic light lskini hakuna magari hivyo wanavuka punda na ng'ombe tu
Huko chato wanaishi wasubi hakuna msukuma anayefuga punda
 
Inaonekana hamna pesa muda huu
Nawashauri kesho mnitumie kuku na bata mzinga nina 100k cash oli iwasaidie week end
Umejuaje mzee baba nipo kavu hadi buku naiona ten
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…